Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

Kwa jinsi matumizi ya nguvu kupita kiasi yanayo fanywa na tuliowaajiri kwa kodi zetu kwenda kwenye hayo matukio ni sawa na kujitoa muhanga.
Wewe kama hauwezi kumsaidia wapo wanaweza watamsaidia.
Siyo lazima kuwekeana shariti la kushiriki siasa za kikatili. Wale jamaa katili sana, you could end up dead.
 
Ulienda kisutu kwenye kesi ya uhaini ya Lissu?
Ukweli unaujua wewe na Mungu wako.
 
Kuna jamaangu huko Morogoro alikuwa anatafuta kijana kwenye shughuli zake,

Ngoja nitawasiliana naye kufikia kesho nifuate pm

Narudia nifuate kama uko serious hapo kesho,
 
Wako wengi wa namna hiyo na njia ni kubadili system. Hwezi kuwasaidia wote. Na usilolijua ni kuwa nchi ikifikia critical point na wewe unayejifanya hujui kinachofanyika utakubwa na madhara.
 
You see!
It's easier said than done.
Ni rahisi kuchangia pesa, mali na mawazo yako kuliko kuchangia uhai wako au mwili wako au kiungo chako chochote cha mwili.
Popote ulipo ungerudi kuja kulikomboa taifa lako kama kweli wewe shujaa.
Wapo wengi sana walikuwa ughaibuni wakaacha vyote wakarudi nchini kwao kupambania uhuru kamili. Ukiwa mikoani ndiyo rahisi zaidi.
Kama ajira Nyerere aliacha ajira apambanie uhuru.
Ninachotaka kusema tuache anaye jisikia kujitoa nafsi yake kwa ajili ya a greater cause let him or her do it. But we should not force people to make sacrifices.
Making sacrifice is not for everyone. Politics is not for everyone.
Let's ask them to join the cause politely.
Unajua niko wapi na nilisaidia kwa kiwango gani?
 
Huyu atafaa kuwa secretary wangu
 
Aiseeee
Ilikuwaje akaja Dar bila kujua atakuja kuanza na mishe gani?
Kosa ni la wewe mwenyeji wake.
Aachane na mambo ya kuajiriwa labda alipwe kuanzia laki 5 kwenda mbele.
Auze mihogo ya kuchoma atapata pesa kuliko mwenye mshahara wa laki 7 akipata tu site nzuri.
Mtaji wa laki moja naweza kumpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…