Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

Ukimuuliza yeye anaweza kuwa mstari wa mbele anajificha watanzania wanafiki sana
 
Mkiambiwa pambanieni katiba mpya itayojali utu na haki zetu kama wananchi mnatuona wapumbavu! Aya, akatafute kazi ofisi za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…