Undetectable JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 1,570 Reaction score 2,076 Jul 20, 2024 #101 ChoiceVariable said: Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo. Click to expand... Huyo huyo Rais akienda kwenye misiba ya viongozi wanaojielewa anapandishwa shuttle.
ChoiceVariable said: Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo. Click to expand... Huyo huyo Rais akienda kwenye misiba ya viongozi wanaojielewa anapandishwa shuttle.
Undetectable JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 1,570 Reaction score 2,076 Jul 20, 2024 #102 M2WAWA2 said: Ndio raha ya kuongoza maiti, Kule jiran kavunja baraza la mawaziri, kafuta safari za nje, kafuta baadhi ya mashirika yasiyo na faida ili kupunguza matumizi. Click to expand... Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana
M2WAWA2 said: Ndio raha ya kuongoza maiti, Kule jiran kavunja baraza la mawaziri, kafuta safari za nje, kafuta baadhi ya mashirika yasiyo na faida ili kupunguza matumizi. Click to expand... Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Jul 20, 2024 #103 Tate Mkuu said: Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana. Click to expand... Kwa hiyo unajisifu kuibia serekali!?
Tate Mkuu said: Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana. Click to expand... Kwa hiyo unajisifu kuibia serekali!?
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 Jul 20, 2024 #104 Undetectable said: Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana Click to expand... Siku maiti zikihamka, hazitaogopa kufa tena
Undetectable said: Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana Click to expand... Siku maiti zikihamka, hazitaogopa kufa tena
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 20, 2024 Thread starter #105 Ubena Zomozi said: Wewe ni mamayake na yule mchezaji wa simba? Click to expand... Hapana Mimi ni Mumeo unayetoa sana Mimba zangu.
Ubena Zomozi said: Wewe ni mamayake na yule mchezaji wa simba? Click to expand... Hapana Mimi ni Mumeo unayetoa sana Mimba zangu.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jul 20, 2024 #106 Ni gharama kubwa ambazo sio lazima
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Jul 20, 2024 #107 GENTAMYCINE said: Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa? Click to expand... Kumbe alisusa , mi nkajua bado yupo ndani ya kuyaongoza ππ€πππΆπ
GENTAMYCINE said: Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa? Click to expand... Kumbe alisusa , mi nkajua bado yupo ndani ya kuyaongoza ππ€πππΆπ
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 20, 2024 #108 Hata mimi ningekua ni traffic pale ningechimba tu
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,558 Jul 21, 2024 #109 Mpaji Mungu said: Jtatu asubuhi unatafuta risiti hata ya 8M mpaka siku saba zikate wiki imeisha na umesafirisha mizigo ya kutosha Click to expand... Zinapatikanaje hizo risiti?
Mpaji Mungu said: Jtatu asubuhi unatafuta risiti hata ya 8M mpaka siku saba zikate wiki imeisha na umesafirisha mizigo ya kutosha Click to expand... Zinapatikanaje hizo risiti?
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jul 21, 2024 #110 Mpandisha mishahara said: Zinapatikanaje hizo risiti? Click to expand... Zinapatikana vzr