Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Huyo huyo Rais akienda kwenye misiba ya viongozi wanaojielewa anapandishwa shuttle.Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huyo Rais akienda kwenye misiba ya viongozi wanaojielewa anapandishwa shuttle.Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo.
Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sanaNdio raha ya kuongoza maiti,
Kule jiran kavunja baraza la mawaziri, kafuta safari za nje, kafuta baadhi ya mashirika yasiyo na faida ili kupunguza matumizi.
Kwa hiyo unajisifu kuibia serekali!?Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.
Siku maiti zikihamka, hazitaogopa kufa tenaKule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana
Hapana Mimi ni Mumeo unayetoa sana Mimba zangu.Wewe ni mamayake na yule mchezaji wa simba?
Kumbe alisusa , mi nkajua bado yupo ndani ya kuyaongoza 😊🤔🙃🙂😶😃Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Zinapatikanaje hizo risiti?Jtatu asubuhi unatafuta risiti hata ya 8M mpaka siku saba zikate wiki imeisha na umesafirisha mizigo ya kutosha
Zinapatikana vzrZinapatikanaje hizo risiti?