Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Ndio raha ya kuongoza maiti,
Kule jiran kavunja baraza la mawaziri, kafuta safari za nje, kafuta baadhi ya mashirika yasiyo na faida ili kupunguza matumizi.
Kule wenzetu wanajitambua ila kwetu bado tuna safari ndefu sana
 
Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Kumbe alisusa , mi nkajua bado yupo ndani ya kuyaongoza 😊🤔🙃🙂😶😃
 
Back
Top Bottom