Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Cherry kutoka china wametangaza SUV yao iitwayo Tiggo 7 ambayo itaingia sokoni kuanzia mwakani 2025.

Kinachovutia zaidi sio SUV, bali ni jinsi ilivyofanana na Range Rover Evoque.

Inakuja na option ya petrol au plugin hybrid.

Version ya petrol itakuja na The turbocharged 1.6-litre four-cylinder engine, either FWD au AWD automatic transmissions.

Na version ya Plug-in hybrid (PHEV) itakua na turbocharged 1.5-litre four-cylinder petrol engine.

Kama mzee wa kufake, unanunua hii hafu unaweka badge ya Range Rover.
 
Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.

Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Kusema kweli kweneye quality, naogopa gari zao especially hizi zenye specifications kubwa hafu bei unakuta chini ya $20k.

Nawaza sisi watu wa used after ,5 years ukinunua si itakua ineshachakaa sana.
 
Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.

Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Mchina anapiga kotekote ndo maana kwa soko la ulaya wamemuogopa na viwanda vyao vipo hatarini kufungwa,,,,ulaya anapeleka gari quality na kwa bei nafuu kiasi cha kwamba watengeneza magari ulaya wanashindwa kushindana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…