Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cherry kutoka china wametangaza SUV yao iitwayo Tiggo 7 ambayo itaingia sokoni kuanzia mwakani 2025.
View attachment 3097795
Kinachovutia zaidi sio SUV, bali ni jinsi ilivyofanana na Range Rover Evoque.
View attachment 3097796
Inakuja na option ya petrol au plugin hybrid.
View attachment 3097797
Version ya petrol itakuja na The turbocharged 1.6-litre four-cylinder engine, either FWD au AWD automatic transmissions.
View attachment 3097798
Na version ya Plug-in hybrid (PHEV) itakua na turbocharged 1.5-litre four-cylinder petrol engine.
Kama mzee wa kufake, unanunua hii hafu unaweka badge ya Range Rover.
Shida soko la africa wanaonunua gari mpya ni wachache sana , wengi ni used na gari mpya ambayo haijatumika kwa bei yake hata ikiwa ni ist wabongo wengi hawatanunuaNi wakati sasa Wachina wawe serious na soko la Africa
WeweBila shaka body yake itakua imeundwa na mabati ya fensi
Chinese kwenye suala la ubora hawana muda, wazungu huwa wanazingatia hata details ndogo sana ambapo unaweza kuona hazina umuhimu ila wanazingatia sana.Kusema kweli kweneye quality, naogopa gari zao especially hizi zenye specifications kubwa hafu bei unakuta chini ya $20k.
Nawaza sisi watu wa used after ,5 years ukinunua si itakua ineshachakaa sana.
Ila bei za Mchina hata za chuma 0km sio mbayaShida soko la africa wanaonunua gari mpya ni wachache sana , wengi ni used na gari mpya ambayo haijatumika kwa bei yake hata ikiwa ni ist wabongo wengi hawatanunua
Mzee baba upo? Kitambo sana sijakuona majukwaani?Bila shaka body yake itakua imeundwa na mabati ya fensi
Sio mbaya kama kipato kipo wengi mtaani wanacheza na gari used za dola 8000 au 5000 hapo........kwahio bei mchina hata ajipinde vipi soko la afrika bado litakua gumu labda watu vipato vikueIla bei za Mchina hata za chuma 0km sio mbaya
Hivi mkuu mchina msikie tu, unaweza fungua hio gari ukakuta hio engine imegundishwa na gundi, ukabaki kushangaa.SUV yenuw hiyo engine ni matatizo tu.. weight ratio.. ni 🥴🥴
Ila muda si mrefu tutaanza kuagiza usedSio mbaya kama kipato kipo wengi mtaani wanacheza na gari used za dola 8000 au 5000 hapo........kwahio bei mchina hata ajipinde vipi soko la afrika bado litakua gumu labda watu vipato vikue
Used za hybrid nyingi zitaanza kutoka china,,,mjapan soko lake linaweza likafaIla muda si mrefu tutaanza kuagiza used
Hata mimi nimeliona hiloUsed za hybrid nyingi zitaanza kutoka china,,,mjapan soko lake linaweza likafa
Naomba uanzishe thread yako .. uweke thread zako zote ulizowai zianzisha kisha mods Tumpe taarifa ai Pin thread hiyo..Bila shaka body yake itakua imeundwa na mabati ya fensi
Mkuu hakuna asiyependa gari zuri ni swala la kipato tuu. Wewe angalia humu JF kutwa wananzengo wana discuss Raum na magari kama hayo. Yote ni used na bei zako ndo hizo. Kifupi, magari mengi yanayokuja kwetu ni dumping tuu, kwa sababu hawana pa kuyatupa. Hata hiyo Raum kuinunua lazima uwe mwanaume kweli kweli. Likely hata kwa pesa ya kustaafu. Ndo maana bongo anayeongoza kununua magari mapya na mazuri ni Nani? You guessed right! Sasa jiulize kwa style hiyo tutafika kweli?Shida soko la africa wanaonunua gari mpya ni wachache sana , wengi ni used na gari mpya ambayo haijatumika kwa bei yake hata ikiwa ni ist wabongo wengi hawatanunua