Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

A hapo imagine hiyo Chery kwa China ni kampuni ya 8 by sales volume
Sahivi Mchina hakamatiki kwenye automobile. Ni either ujiunge nae au uwe adui yake.

USA anatamani sana kuiendeleza hii vita ila inampa stress. Tesla China ni nchi ya pili kwa kununua, imagine nao wakimkazia.

Kawawekea ushuru mkubwa sana kuingiza vyuma US ila bado vinaingia.
 
Umesema vyema makampuni ya Ulaya baadhi yameamua yajiunge naye kwa kufanya joint venture wameona mziki wa Mchina sio wa kujitenga naye

Mengine yamekuwa sehemu ya umiliki wa makampuni ya China, mfano Geely sasa hivi ndio mmiliki wa Volvo
 
Kampuni nyingi za china nimeona zimeiga muunda wa range katika magari mengi ya suv. ila mchina hii copy na paste plus ana makampuni mengi ya affordable evs ndio maana ulaya inapiga nduru
 
Ila wachina wameshindikana, SUV na engine ya 1.6/1.5 L, Sasa hio si ist iliyochangamka.

Kiukweli wazungu huwa wana ubora flani wanazingatia, kwa mchina hio sahau.
Tushaona engine za 1.4 zikiproduce power sawa na 2.7 ya discovery unadhani kuna cha ajabu kwenye 1.5/1.6 turbo kupower SUV kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…