Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

Ni mini SUV, hata VW wanayo yenye 1.4 min suv so ni normal
Hio engine ya kichina, sidhani kama ina features na uwezo kama wa hio engine ya vw, hio hio gari bei wanasema ni $ 20000, hapo na kiwanda kimepata faida.

Kiukweli hio engine nadhani haina hadhi kuwa kwenye SUV.

SUV ni gari ya kazi, hio engine hapana.
 
Kwa mchina anaweza akatengeneza shock absorbers one for all yaani kwenye lorry twende kwende pikipiki au gari hiyo hiyo unafunga 😄 🤣
Sahihi mkuu, usije shangaa wanachukua engine ya bajaji na ku modify kiasi halafu wanaweka kwenye hio SUV.

Chinese ndivyo walivyo.
 
Inaweza ikawa nzuri sana lkn kwa vitu vyao hakuna mwenye habari nazoo

Watuu wanataka quality thing and not quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…