SCOTLANDKulitakiwa kuwe na ligi moja tu itakayo husisha timu zote za Tanzania. Kinyume na hapo, huu muungano uvunjwe. Maana una mkanganyiko mwingi.
Wewe ndiyo umechagua sasa kujitoa huo ufahamu. Kwa hiyo unataka kusema huo muungano wa England, Scotland, na Ireland ni copy and paste na huu muungano wetu?SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Umemjibu vizuri huyo bwege mwenye akili ya kuiga kila jamboWewe ndiyo umechagua sasa kujitoa huo ufahamu. Kwa hiyo unataka kusema huo muungano wa England, Scotland, na Ireland ni copy and paste na huu muungano wetu?
Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Sehemu zenye waarabu weusi huwa hakuna maendeleo.Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Ulitaka atoe mfano kwa warabu? Watu wanacheza mpira nyie mpo majumbani mnakula daku.Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.
POOR AFRICAN
Timu ya taifa mbona wanatupigaUnawaonea tuu Wala urojo na mpira wapi na wapi
Kulitakiwa kuwe na ligi moja tu itakayo husisha timu zote za Tanzania. Kinyume na hapo, huu muungano uvunjwe. Maana una mkanganyiko mwingi.
BaviChA mna matusi sana. Toka arudi Lissu mmekopi mpaka akili zakeBwege wewe ,
Kwanini Zanzibar iliondolewa uwanachama wa fifa?Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika
Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi
Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako
Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
Zanzibar sio mwanachama wa fifa wala caf ,huko ZFF hafikiKwanini Zanzibar iliondolewa uwanachama wa fifa?
Zanzibar sio nchi mkuuKwanini Zanzibar iliondolewa uwanachama wa fifa?
Unaandika uwongo kwa manufaa ya nani!?Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika
Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi
Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako
Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
nakumbuka iliwahi kupata uanachama wa caf mwaka 2017 lakini ikatolewaZanzibar sio nchi mkuu