Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.

Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.

HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
 
SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND

Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.

Tusijitoe akili kiasi hiki.
Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.

POOR AFRICAN
 
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.

Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.

HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Sehemu zenye waarabu weusi huwa hakuna maendeleo.
Ukifika muda wa Rama, wanaweka mpira kwapani wanaenda nyumbani kuwasubiri wanaokula hadharani wawachape viboko.
Watu wanacheza mpira, wao wapo nyumban wanakula daku
 
Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.

POOR AFRICAN
Ulitaka atoe mfano kwa warabu? Watu wanacheza mpira nyie mpo majumbani mnakula daku.
Urojo na mpira wapi na wapi?
 
Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika

Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi

Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako

Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
 
Kwanini Zanzibar iliondolewa uwanachama wa fifa?
 
Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika

Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi

Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako

Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
Unaandika uwongo kwa manufaa ya nani!?
 
Back
Top Bottom