Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Mungu na wanadamu
Makanisa je yapo
Misikiti je ipo
Wanasali hawa?
Nilikuwa napenda sana kwenda kanisani
Ukienda kanisani utafurahi mapambio yanayopigwa hapo ni kama ndiyo tuko mbinguni tayari sound classic vyombo wanavyo na kuimba wanajua pia

Uislamu joberg umeletwa na wageni/foreigners
joberg msikiti unaitwa muslim church
Waislamu kwa south wapo cape town ni wachache sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wana Psychological Trauma mambo yaliyotokea na yanayoendelea yanawapa sana shida kisaikolojia
 
South America ndio mwisho wa matatizo,kwa hatari ya kutisha...
 
Du
Du HII hatari,ananyoa ana AK 47,ukimdhulumu mnamalizana hapohapo.
 
Uhuni maanake nini au mnajiropokea Tu?
 
Marekani bro ni hatari kuliko south

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Marekani nzima mwaka jana wote 2023 hakuna mji wenye homicide ya watu 700,

Marekani ina watu zaidi ya million 350 huku south afrika ina population ya watu million 60+ johannesburg mwaka jana wameuliwa watu 2500+ kwa mwaka mzima

South afrika ni nchi hatari sana kwa ualifu
 
Wengine ni kutaka league TU maana hao kina Space X ni WA SA Kuna yule chalii Noah ni SA na wengine wengi tena hadi Korea China n.k wanafundisha kingereza huko
Nchi iwe na viwanja vikubwa vya ndege na wana safari za moja kwa moja kutoka Cape Town mpaka USA ilikua kwa wiki mara moja nadhani watakua wameongeza harafu anasema wao hawasafiri hiyo VISA ya USA wakiomba wanaletewa passport nyumbani tena unapata bila masharti mengi kama kwetu harafu anasema wao hawasafiri daah...
 
South Africa hayo magenge yao yote na number sijui 26,28 na 29 wameiga USA mazee Wasauzi wengi wanapenda kuwanyanyasa wageni au watu wasio na siraha wakijua kabisa hawa kutokana na sheria za hapa hawana siraha USA mtu anaeuwa nae ana siraha tena wengi tu..
Huko SA ushasikia mtoto kaenda kuua wanafunzi pamoja na walimu shuleni wakati USA hayo matukio wameshayazoea..
 
Mexico lazima pawe hatari maana wamepakana na Kiwanjani (USA) na wana-access ya silaha za kivita, kwa 70% silaha zao zinatokea Marekani. Kimsingi bara lote la America halina usalama kwa mtu ambaye hajazoea yale maisha.
Mimi nilipokua Debeers Marines nilifanya kazi muda mrefu na jamaa kutoka huko baadae nikasema mwezi mmoja niende kutembelea huko nilikaa wiki mbili tu mbili zingine nilienda kumalizia Spain aisee pana muda unasikia milio ya risasi tu ukiuliza wenyeji wanakwambia ni maganster hao sio Polisi na mitaa ni mizuri hatari ila yanayofanyika hapo hauwezi kuamini...wapo wahuni wengine wanenda kuwateka wale wanataka kuzamia USA na kuwachukulia hela au wanawake wanabakwa hivyo vitu hata uji kuvisikia wakiona msichana mzuri wanamteka kabisaa hiyo USA ataisikia wanaweza kuishi nae muda mrefu harafu wanamuua ili kupoteza ushahidi wanaenda kumtumpa kwenye ule mto unaotenganisha USA na Mexico sio mbali na Mexico City Town ila jamaa wanapiga kazi kweli wana viwanda vingi wanavyo na mji una hewa nzito sana na ni wagomvi sana..
 
Hawana mashariti visa Yao ni on arrival
 
South Africa ni risasi tu ikizidi sana mtu kachomwa kisu.
kule latin America ukishauliwa viungo vyako vya mwili vinatenganishwa vinakatwa kama mishkaki alafu vinasambazwa barabarani.
Kukatwakatwa vipande vipande hata hapa TZ ipo kwa baadhi ya makabila, ushawahiona Mtu kachanuliwa kama ng'ombe buchani akiwa hai kisha anachanwa chanwa na nyembe mwili mzima na kuachwa damu zivuje hadi akate roho?

Labda useme massive assassinations kulingana na muda au tukio ila si namna ya mauaji.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…