Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Ruaha Mbuyuni iko around 90km toka Iringa,ni baada ya kushuka Kitonga
 
Wakuu naomba mwongozo kidogo, wakati unaelekea iringa na mbeya ukifika mlima Kitonga huwa kuna kupanda, lakini sasa sijawahi kuona mahali pengine mnenda kuteremka!
Ni kwamba ile mikoa ipo juu?
Morogoro na dar zipo bondeni labda?
 
Joto siyo ishu..ishu ni relative humidity...sehemu inaweza kuwa na joto la 25C mfano Dar es salaam, but kukawa worse kuliko Mbeya yenye nyuzi joto 35C.
 
Joto siyo ishu..ishu ni relative humidity...sehemu inaweza kuwa na joto la 25C mfano Dar es salaam, but kukawa worse kuliko Mbeya yenye nyuzi joto 35C.
Mbona watu wanasema humidity ndio inaleta uafadhali maana hewa ikiwa kavu na joto kali ndio balaa zaidi?
 
Wakuu naomba mwongozo kidogo, wakati unaelekea iringa na mbeya ukifika mlima Kitonga huwa kuna kupanda, lakini sasa sijawahi kuona mahali pengine mnenda kuteremka!
Ni kwamba ile mikoa ipo juu?
Morogoro na dar zipo bondeni labda?
Ndio mkuu, na ndo maana mikoa ya iringa, njome, mbeya etc kwa ujumla inaitwa "Nyanda za Juu Kusini".
 
Kilombero, pawaga, igawa kuna joto balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…