Ni kama Tukuyu na Kyela, ziko karibu lakini Tukuyu unagegeda huku umevaa jacket wakati Kyela unakuwa kama uko kwenye ovenRuaha mbuyuni na Iringa mjini kuna umbali wastani km120 , ila ni climate mbili tofauti kabisa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pagawa hujawaelezea na wale mmbu jamani
Bonge ya chai. 🤣Maji ya Chai napafahamu mkuu, hii uliyoandika ni chai
[emoji1787]Tanga Napo Moto unawaka hatari,usiku unaweza pasuka kichwa kwa joto kali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Sehemu inaitwa MAJI YA CHAI, hii ipo Arusha . Joto lake ni hatari yaani maji yanatiririka kwenye mto huku yanachemka. Unachota maji mtoni unaweka majani na sukari unapata chai. Ndio pakaitwa Maji ya chai yaani ni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pagawa hujawaelezea na wale mmbu jamani
Kilolo inasemekana ina maeneo ya aina mbili kiuoto wa asiliNenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!
Sio kudhani, Ifakara ipo bondeni tena chini kabisa. Wenyewe wanaita bonde la Kilombero, joto la hii fasi sio mchezo kabisa. Ukitaka kujua Ifakara ni bonde njoo kipindi cha mvua..mpunga unalima nyuma ya nyumba [emoji23][emoji23]Kuna mwezi nilienda ifakara nikajisema sasa huu ukijani wote unafaida gani kama joto ndo hivi....nadhani ifakara itakuwa ni bondeni
Kideri kimeingia msimu wa joto kali lazima wafe tu.. karibu site mkuu.Mkuu nipo hapa viwanja sitini hali ni tete,kuku wanakufa tu.
Ha ha ha we jamaa mjinga sana, hakuna kitu kama hicho..Kuna Sehemu inaitwa MAJI YA CHAI, hii ipo Arusha . Joto lake ni hatari yaani maji yanatiririka kwenye mto huku yanachemka. Unachota maji mtoni unaweka majani na sukari unapata chai. Ndio pakaitwa Maji ya chai yaani ni shida.
Kuna Sehemu inaitwa MAJI YA CHAI, hii ipo Arusha . Joto lake ni hatari yaani maji yanatiririka kwenye mto huku yanachemka. Unachota maji mtoni unaweka majani na sukari unapata chai. Ndio pakaitwa Maji ya chai yaani ni shida.
Pawaga ipo wapi?
Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana.Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto Tanzania?
Dar Kuna sehemu na sehemu.
Umeshawahi kufika Bugurruni mnyamani pale ndaani ndani au Karakata.?
Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana.
Kuna wakati bongo Humidity inafika mpaka 80.. hapo ni mwendo wa jasho tupu. Hapa mwili ukipumua unakutana na maji maji yamejaa tayari kwenye hewa (air), yanashindwa ku evaporate yanabaki kwenye mwili wako , ndio maana watu wanatoa jasho sana
Mfano kwa Leo
Ifakara ni 36 Humidity: 32%
Dar ni 32 Humidity: 56%
Huyu mtu wa Dar atakuwa unconfutable zaidi kuliko huyu mtu wa Ifakara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wabongo kwa kulialia,Djibouti wao 50 degrees na unakuta mtu kapigilia suti na anakunywa Chai yenye tangawizi juani.