Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ?
Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa.
Kikawaida ? ,
Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda.
Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni presidential appointements hivyo wote wapo sawa mbele ya boss.
Makonda sio mwanasiasa ni mtendaji, Mchengerwa ambae amefika hapo alipo from Nepotism sijawqhi kuona utendaji wake wenye TIJA. Ni anafanya siasa kuliko utendaji.
TAMISEMI inahitaji mtu mwenye weledi na mchapa kazi. Ni Wizara yenye changamoto nyingi mno za kiutendaji na hazijawahi kupatiwa majibu.
Hii wizara akipewa makonda mtashangaa wimbi la malalamiko streaming from TAMISEMI from wananchi hadi watumishi wa Umma.
Ajira yangu ya kwanza ilikuwa kwenye Hospital moja iliyochini ya Tamisemi mkoani Kagera……nilifanya kazi masaa 48 tu , nikaona kabisa huku ninaenda kuua carrer path yangu, chap nikakimbia na kurudi Town, ni wizara yenye mambo ya hovyo na kila kitu ni dili….. majungu, umbea, wizi, ushirikina, kusagiana kunguni….
Mchengerwa akishirikiana na Maulid Kitenge wanachuki sana na utendaji wa makonda na wanatamani snaa kumsagia kunguni…. But hawatoweza maana makonda ni mtendaji by nature.
MAKONDA apewe hii WIZARA! tutajionea mengi. Tutaona kama yaliyomo yamo.
Kauli aliyotoa Makonda ni SAHIHI.
Viongozi wanatakiwa wawajibishwe, na viongozi wengi ni mazero brain…. yanaenda ofisini kuzuga zuga na kupiga dili fake huku wananchi wanakosa huduma, check barabara zinazojengwa chini ya TAMISEMI, manyunyu tu … barabara zimeshaweka mashimo….hapo imepigwa hela na hakuna huduma
I wonder Mchengerwa alipataje hii WIZARA.
Mama wa Babati amekufa kwa kunyimwa ANTIVENOM, waziri hujasimama kukemea hivi vitendo vya watumishi walio chini ya Wizara yake ila umeona la makonda ambalo halikuwa na TIJA! hii ni chuki na majungu ya utendaji.
Amekufa kibao , did you Even comment ? Kuna matukio mengi chini ya TAMISEMI ya hovyo hujawahi kufanyia kazi.
Makonda is far better na hamuwezi ku slow down utendaji wake…..uchapakazi upo kwenye damu yake, nyie endeleeni kubebana kwenye Nepotism, kwanza ni Conflict of interest kwenye utumishi, unakuaje Waziri wakati Mama wa mke wako ni Rais wa nchi, usiniambie hakuna manoveur yaliyofanyika!?
Hatuwezi kuwa na taifa la NEPOTISM
Mji wa Arusha ulikuwa unapotea kwenye Ramani…., Mchengerwa hujawahi kuwa chochote kitu kwenye mkoa wetu ; makonda ameurudisha kwenye Ramani.
Nepotism is bad
Dr Megalodon
Ottawa