Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

Acha chuki ndugu, mara unadai kuwa mchengerwa kapata through nepotism, mara hujui kapataje uwaziri, Dr gani ambaye huwezi kupangilia taarifa yako!!! Au umetumwa? Ne serious brother, acha wivu ambao hauna tija Kwa wenzako.
Hata mchengerwa asipo kua waziri huyu DR wa mimea hawezi pata yy akae kwa kutulia
 
Na ww naomba uchore mstari kati nepotsm na uhalali wa mkwe Kua Rais na kuteua mkwe wake kua waziri
 
Mbona kama mwandiko w" mkwe "
Mbona kama mwandiko wa "Mkwe" au wa "mke wake" yaan Binti wa mama mkwe
 
Makonda atuonyeshe baba yake mzazi anayeitwa Christian Makonda, mtu aliyefoji mpaka jina lake halisi hafai, yeye DAUDI ALBERT BASHITE.
Uongozi wa taasisi ya serikali kama ukuu wa mkoa hauendeshwi na hisia na sifa binafsi bali sheria, kanuni na taratibu siyo matamko binafsi.

Wenye intelligensia ya juu wanamtuhumu kwa mauaji, wenye intelligensia ya kuzuia maandamano ya CHADEMA yataleta mapinduzi wanamtetea. Aliyevamia taasisi akiwa na askari wenye silaha za moto ni muuaji, tunataka viongozi safi siyo wenye makandokando.
 
Mkuu nimewasikiliza.
Kwa maoni yangu Makonda hakua sahihi. Lakini pia waziri wa TAMISEMI ndo immediate boss wa RC/DC. Hivyo waziri wa TAMISEMI anaweza kuelekeza RC Kufanya jambo fulani. Shida ya makonda hataki kuwa "mdogo".
Na huyu mtetezi wake ni kibuyu hamna kitu kichwani anatetea tutusa mwenzake
 
Acha chuki ndugu, mara unadai kuwa mchengerwa kapata through nepotism, mara hujui kapataje uwaziri, Dr gani ambaye huwezi kupangilia taarifa yako!!! Au umetumwa? Ne serious brother, acha wivu ambao hauna tija Kwa wenzako.
Atakuwa Makonda huyu kilaza tu analeta chuki za kike typical Makonda type, kumbuka Ruge Mutahaba alivyofanyiwa na huyu juha.
 
Kiutendaji, kimamlaka Boss wao ni mmoja tu . Wote ni presidential appointment. Waziri hawezi kumtumbua RC , anachoweza kufanya ni kumsagia kunguni yaani kupeleka umbea
Sasa wewe boss umedai kuwa ni daktari, lakini naamini kwenye taasisi unayo fanyia kazi kuna organization structure yaani kuna medical officer in charge and the likes, kwahiyo kwasababu wote mmeajiriwa na serikali au taasisi yoyote ile hakuna ambaye anaweza kumuwajibisha mwingine kulingana na seniority Eti kwasababu wote mmeajiriwa na mtu mmoja?
 
MaCCM tena?

YAUANE TU,hayana maana!
 
Ninakubaliana nawewe.
Huko TAMISEMI kuna utendaji wa hovyo sana hasa kwa wasimamizi wa raslimali watu.
Mimi nilipambana na mzabuni aliyeshirikuana na mkurugenzi na timu yake kuiba,nilitengenezewa kesi ambayo imenitoa nje ya kazi hadi sasa.

Hakuna uwajibikaji huko juu,majungu,uchawi na fitna ndiyo maisha ya TAMISEMI.
Anahitajika kiongozi imara na madhubuti.
Unashangaa eti pesa imeletwa kwa ajili ya maendeleo lakini watu wanabishana jinsi ya kuitumia hadi wanakosa muafaka muda unaisha pesa inarudi serikalini.
Huu ni uzembe na kutowajibika

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wacha wauane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…