Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

inawezekana ni mbegu tafauti kama vile ilivyo kwa embe na ndizi
 
Utamu wa matikiti maji hutegemea na aina ya udongo yalipozalishiwa, wingi wa maji yalipokomaa.

Ukienda kununua tikiti maji kama ni zima chagua lile la duara kidogo linakuwa tamu.

Ukichagua refu refu litakuwa siyo tamu ila litakuwa na maji mengi.
 
Hizi mvua za el nino ndo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…