Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

Wambie wauzaji walitoboe palepale watoe kakipande kadogo uonje before uondoke nalo ,itakusaidia

Kila kitu kunaupande kipo poa upande sio poa, unaangukia upande sio poa tu mkuu
 
Bwana we! Wahanga wakubwa ni wanaokula kwa mama lishe, ati mamalishe wanaweka panadol kwenye maharage ili yaive haraka. Niliisikia humu pia.
Unajua kama miili yetu ingekua kama ya wazungu tungekua tunakufa kama kibudu,. Kuna ujinga mwingi sana tunalishwa
 
Wambie wauzaji walitoboe palepale watoe kakipande kadogo uonje before uondoke nalo ,itakusaidia

Kila kitu kunaupande kipo poa upande sio poa, unaangukia upande sio poa tu mkuu
Wala sio kwamba nanunua tikiti zima,huwa napenda tu mida ya jioni nikiwa narudi mizunguko kusimama kwa washkaj wanaouza vipande kisha nachukua viwili vitatu,matunda hayana ladha kabisa
 
Wengi wanalima bila kufata taratibu sahihi.

Mtu akitaka kulima anatafuta eneo lenye maji, then anaweka zao lake. Tikiti halihitaji maji mengi, either yataharibika au yatakosa ladha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…