Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

Jana nilikula tikiti lipo kama kiazi au muhogo, tikiti lina kamba kabisa.
 
Labda hukokwenu,sisi huku mashambani bado tunafaidi ladha halisi
 
Yaani matikiti ya siku hizi yana maji mengi sana, hayana utamu na ndizi za siku hizi zimepooza, hazina utamu. Naamini nimeeleka.
 
Dah watu wa daslam mna mambo mengi sana.
 
Ndiyo maana kansa zimekuwa nyingi hazielezeki
 
Ndiyo maana kansa zimekuwa nyingi hazielezeki
 
Matikiti yenyewe yanaimbwa kipumbavu sijui yamefanya nini,sasa unategemea yapate ladha kutoka wapi
 
Matikiti hapo ya aina nyingi,pia wengine wanawahi kiyachuma kabla hayajakomaa na wakati mwingine hasa msimu wa kiangzi yasipomwagiwa maji ya kutosha huwa hivyo.
 
Tukiiondoa Ccm madarakani Matikiti matamu yatarudi
 
Siku hizi mazao yote ni dawa tu hakuna usalama tena hizo Tikiti kuanzia kupanda mpaka kubuna ni dawa tupu
 
Aisee kweli. Mkuu hayana ule wekundu pia wala utamu watalaam watueleze
Inawezekana ni sababu ya mvua nyingi. Hivyo yamekunywa maji mengi Ndiyo sababu hayana ile rangi nyekundu iliyokolea na sukari
 
Kwa sisi wataalam wa world economy tunaelewa Vita ya ukraine ndo imesababisha sukari kupanda bei hivyo hata kwenye matikiti imekua adim sana
We jamaa fala sana 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…