Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!followers kitu gani,unatumia akili gani[emoji16][emoji16]
impact ya anty ezekiel unaweza ukailinganisha na alikiba???au unaandika andika tu???
views 1.5 mln now,bado una swali??
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae wataanza kulalamika nako insta wanaujumiwa akili za Kiba hazina tofauti na mashabiki zake kiufupi kiba kapewa mashabiki wanaoendana nao.Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!
Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!
Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
uliishakuta shabiki wa kiba hajaenda shule[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baadae wataanza kulalamika nako insta wanaujumiwa akili za Kiba hazina tofauti na mashabiki zake kiufupi kiba kapewa mashabiki wanaoendana nao.
kwani mleta mada unajua ana uhusiano gani na kiba!!!!Alikiba ndo alipaswa kulalamika sio nyie mashabiki njaa , hizo views zikiwa nyingi mnapata hela nyingi sana au? Maana Amlali
hapo bado wanga hamjaangali[emoji23][emoji23][emoji23]tukiwaweka na nyinyi mlivyo wengi views zinafika milioni 100.Hongera yake basi, manake anajitahidi... 600K!!
yeye alijibu kama msanii,sio mtaalam.Alikiba swala lake la Views aliliweka wazi kwenye FNL Juzi sasa nashangaa mnavyolalamika wakati Alikiba Alisema views kupanda na kushuka nikwasababu ya watu kuishambulia video kwa nguvu ...yaani kuitazama sana.
wacha nisikupe wasifu wako leo shabiki mpezi,habuba,huba,mfia mond,ilaaaaaaa.
the power of social network ndio inafanya mtu anafikisha views 1mln within 24 hrs,au sio hivyo!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupuuze basi manake hakuna kazi nisiyoipenda kama kubishana na majuha!! Sioni hoja yako hasa ni ipi zaidi ya kujichekesha chekesha na hivyo vi-emoj! Ni ngumu sana kubishana na mtu wa aina yako ambae unaonekana wazi ama ni maamuma au ni shabiki maandazi!hapo bado wanga hamjaangali[emoji23][emoji23][emoji23]tukiwaweka na nyinyi mlivyo wengi views zinafika milioni 100.
wote mmezira[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa amekuwa mtu wa ajabu sana wakati huu,na hii ndio sababu inamfanya yule kijana na leble yake wabaki wanahaha why!!!!!
tukiwaambia huyu mtu ana royal fans watu hawakubali,ila maisha yake ya kawaida yanaeleza mengi ambayo upande ule hautaki kuyasikia.
binafsi huwa napata wakati mgumu sana kumwelewa huyo dogo,hela umepata,umaarufu umepata,mafanikuo umepata,fanbase kubwa unayo,kwanini roho za kimasikini kwa ndugu yako njia moja????mpaka huwa najiuliza au anaelekezwa!!!!sio msimamo wake??
au kisa jamaa hatumii nguvu kula[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks!Kuliko yeye, "yeye nani"?! Na kujua nini?!
Sasa anawezaje kuwazidi wakati umeshasema anahujumiwa?!
In short mashabiki wa Kiba mnapenda kulia lia na wala hamjui system ya YouTube inafanya vipi kazi!!
Hakuna suala la kuganda... hicho mnachoita kuganda ni jambo la kawaida kupitia YouTube! Inavyokuwa ni kwamba, YouTube wanatumia bots (software) kukagua akaunti mbalimbali za YouTube, na hiyo kazi ni 24/7!
Hawa bots hawakagui accounts za Kiba ambae hata kumjua hawamjui bali wanapitia accounts mbalimbali! Bots zikikuta kuna suspicious clicks, accounts huwa zinakuwa "in hold" ku-evaluate fake na real views!
Lakini hata account ikiwa in hold, Views counting inaendelea "back office"!
Kama kuna fake views, zinafyekwa kisha akaunti inaendelea pale ilipoishia na itajumlisha views zote zilizokuwa counted back office!
Assume akaunti ilikuwa "on hold" wakati ina Views 900,000 na back office zika-count new real views 80,000 lakini katika kukagua zile 900,000 ikaonekana 10,000 ni fake!
Akaunti ikisharudi kwenye hali yake, itaonesha Views 900,000 - 10,000 +80,000 = 970,000!!
Kwa watu wa IT na Digital Marketers wanaifahamu vizuri sana website ya Hubspot! Msome hapa mmoja wa watumiaji wa huo mtandao akizungumzia hilo suala:-
Na Google wenyewe wanazungumzia hilo suala:-Kwahiyo hayo madai yenu ni porojo na hilo suala linaweza kutokea kwenye akaunti yoyote!!
Au pitia kwenye quora hapa, na hapo kwa chini utakuta posts kibao raia wakijadili hilo suala.
Na YouTube wanafanya hivyo kwa sababu kampuni zinatumia millions of dollars kuweka matangazo yao YouTube!! So, hili kuhakikisha matangazo yao yanaonekana na watu halisi na sio "watu fake/Fake Viewers" ndo hapo Google/YouTube walipotengeneza algorithm zinazopitia hizi accounts 24/7 kuhakikisha no fake views!!
Mbona hata nandy alilalamika hilo suala la views kushuka/kuganda youtubeHuwa sijawahi kupata jibu why iwe hivyo kwake tu. Anyway ipo siku ukweli utadhihilika
Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi inaonekana mashabiki wa wasanii wengine wako na elimu sana kiasi kwamba views zao hazigandi au kushushwa hata kidogo kupisha hao kina 'bots'!! hii inakuaje?!!Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!
Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
unajaa upepo kizembe sana.kama mtoto wa kike.Ngoja nikupuuze basi manake hakuna kazi nisiyoipenda kama kubishana na majuha!! Sioni hoja yako hasa ni ipi zaidi ya kujichekesha chekesha na hivyo vi-emoj! Ni ngumu sana kubishana na mtu wa aina yako ambae unaonekana wazi ama ni maamuma au ni shabiki maandazi!
Nimewapa hapo sources msome na kutoa ujinga vichwani mwenu, kama Kizungu ni shida, that's not my problem!
hana jibu la maana zaidi ya mahaba ya upande mmoja.shabiki wa ndoa ya mkeka wa mond huyoo.kiongozi inaonekana mashabiki wa wasanii wengine wako na elimu sana kiasi kwamba views zao hazigandi au kushushwa hata kidogo kupisha hao kina 'bots'!! hii inakuaje?!!
Jamanii hahahUlimwwngu unataka videozilizo live kama anavofanya Mond na Konde. Huyu alikiba anarekodi kama mlemavu, muda wote amekalia makochi kwenye magorofa analembua macho hahahha
unafikiri kwenye hilo eneo wewe unajua zaidi kuliko yeye?!!!
haya, kwahiyo hapo tunaweza kusemaje pale ambapo kina harmonize, mdee wanaomzidi followers kiba kazi zao zinazidiwa kiurahisi tu na kiba katika views?
kwanini kazi za huyu tu ndo views zinaganda na kurudishwarudishwa kila mara?!!!!
poa!!