Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inawajinga sana hiiHuyo kijana ni mwanamikakati mahiri, ni aseti ya CCM hakuna wa yeyote wa kumfanya chochote. Tena ni aina adimu ya marais wanaotakiwa nchi hii. Kijana hacheki na nyani shambani. Ingekuwa si katiba ya CCM angeteuliwa uchaguzi mkuu ujao apeperushe bendera ya CCM na hatimaye achaguliwe kuwa rais wa nchi hii. Atawanyoosha wengi, ni Magufuli toleo la pili
Hahaha...hizi lugha hizi... Hatari sana...ila ndio uzuri wa kiswahilAmvue nguo mara ngapi?
neutral commentNchi inawajinga sana hii
Hawawezi kumfanya chochote. Kama walishindwa kumfanya chochote Bashiru. Hao watu ni karataAmvue mara ngapi mbona tayari ameishamvua yupo uchi wa mnyama au aendelee zaidi ya kuvua?
Hakika na siku yenyewe haiko mbali. Kiumbe huyo hajifunzi kabisa kutokana na makosa yake ya nyuma.Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Acheni uchochezi.Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Wala siyo mbaliAsipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Enheee! Wacha we!?Amvue nguo mara ngapi?
Maza yeye ameshajikatia tamaa, bora liende haya chakupoteza 2030 anarudi Unguja kula pension baada ya kuvuna pesa za wajingaAsipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Atawasumbua snAlishaanza wakati ule anatembea na msafara
Avue mara ngapi Sasa?Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Rais ndiye anayewavua watanganyika nguo,kwa kutokuwasikiliza matatizo yao, na kuwatatulia .Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Labda akimvua nguo amdinye ndipo watamshughulikia kwa kuwa ni muda mrefu amemvua lakini hawamshughulikii. Watakuwa wanasubiri kwanzaa adinywe. Let us wait and see.Hawawezi kumfanya chochote. Kama walishindwa kumfanya chochote Bashiru. Hao watu ni karata