Kuna siku Makonda atamvua nguo Rais Samia

Nchi inawajinga sana hii
 
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Hakika na siku yenyewe haiko mbali. Kiumbe huyo hajifunzi kabisa kutokana na makosa yake ya nyuma.
 
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Acheni uchochezi.
 
Wala siyo mbali
 
Maza yeye ameshajikatia tamaa, bora liende haya chakupoteza 2030 anarudi Unguja kula pension baada ya kuvuna pesa za wajinga
 
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
Rais ndiye anayewavua watanganyika nguo,kwa kutokuwasikiliza matatizo yao, na kuwatatulia .
 
Hawawezi kumfanya chochote. Kama walishindwa kumfanya chochote Bashiru. Hao watu ni karata
Labda akimvua nguo amdinye ndipo watamshughulikia kwa kuwa ni muda mrefu amemvua lakini hawamshughulikii. Watakuwa wanasubiri kwanzaa adinywe. Let us wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…