Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu.

Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio kinara wa kulipa.

Kuna jalada lipo linatoka ila ni kwa siri.
Ndio maana META imeshikiria waovu
 
Back
Top Bottom