Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
izue taharuki gani? si kila kitu ni cha kufahamu. tena kwa mtu kama yeye ana ethics,na wanafundishwa vitu vya kusema na vya kutokusema.JE KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA MKUU WA MAJESHI KUTOA KAULI HIYO? Je, haoni kwamba kwa nafasi yake kutoa kauli kama hiyo kunaweza kuzua taharuki kwenye jamii juu ya usalama wa nchi au Mh. Rais?
Yawezekana siku chache baada ya Hayati kujua wahuni wameshahujumu afya yake na ikitokea hataweza kupona basi jambo/mambo yapi yazingatiwe.
Magufuli alijua mtu pekee anaweza kumrithi incase of ni Samia, lakini Je yeye ataweza kuwa jasiri mbele ya Wahuni, mtu pekee wa kumpa nguvu Mama Samia ni Mabeyo na Siro.
Leo katika hotuba yake ametamka neno KATIBA kwa Order na mamlaka ya kijeshi sana, na pia amezungumza utii, uaminifu na ulinzi kwa Rais.
Endapo Rais kutoka marafiki wa Kikwete watarudi madarakani kwa mgongo wa CCM basi Wananchi wataandamana na kusaidiwa na Jeshi.
Leo ndio siku ya Kwanza ya Legacy ya Magufuli imeonekana na Kivuli chake kitaendelea Kuishi vizazi na vizazi
Ewaaaa... Hayati JPM alitu-DOKEZEA kuwa kuna sehemu yamegunduliwa napo watapiga ukuta. sasa huenda CDF hana hakika kama mzee alimjuza mama
Akiwa Rais anakuwa Amiri Jeshi Mkuu.Mwanajeshi mstaafu ni Raia 😁
Hebu tumpe awamu ya 6 jamaniWakuu sorry aisee hivi Mama yetu SAMIA HASSAN SULUHU ni Rais wa awamu ya ngapi hii??maana tunabishana na wadau hapa..5th or 6th?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana hao wameshiba kande wanakuja kututukana wahenga humu.Ni kipindi gani JF haikuwa na vilaza mkuu? wewe umejiunga JF 2018 mara hii tu umeanza kuwa msemaji?
Kwa CDF pia kaonyesha kaumia kupita maelezo na mipango Mingi walikuwa wamepanga na marehemu....amini mingine hataiweka hadharani milele...Huyu kamanda nimemkubali. Kwanza tumejua ziko siri za jeshi ambazo anajua CDF na Amiri basi. Lakini kulikuwa na katensioni flani hivi. Ndungai sijui ni majonzi au nini alikuwa ana kitu kina msumbua ,CDF was very sereous.
Haimfanyi kuwa mwanajeshiAmiri Jeshi Mkuu
Yes, hapo ni ujumbe ili ushawishi wa kugawanya jeshi ushindwe.Jeshi limeingizwa kwenye siasa . Hata ile habari kwamba kuna kitu Mabeyo anataka kumwambia Rais Hassan ni siasa.
Mabeyo hakosi muda wa kuongea na rais privately, pale alikuwa anatangaza kwa umma.
Kuna power struggle kubwa sana huko kati ya wafuasi wa Magufuli na watu wa makundi mengine ye CCM.
Kuna watu walitaka hata Samia Suluhu Hassan asiwe rais, Mabeyo na wenzake wakasema katiba ni lazima ifuatwe.
Ndiyo maana umeona Mkuu wa Majeshi katoa hotuba, halafu katika msiba, sehemu ambayo ungetegemea hotuba za tazia za rais aliyefariki, mkuu wa majeshi katumia muda mwingi sana kuongea jeshi ilivyo nyuma ya rais mpya na karudia rudia sana kwamba linamuunga mkono na litamlinda. Hii ni kuweka watu wote jeshini wajue kwamba hakuna muda wa kuwa na makundi jeshini, jeshi lipo nyuma ya rais mpya.
Kilema....wa nini vile!Huna namba ya General umuulize maana ujinga ni pamoja na kufaham wakuulizwa kitu alafu ukamuacha na kusumbua watu wengine wasiohusika, kama huna namba nenda getini Pale Ngome Upanga ukamulize
Umeshiba githeri unakuja na mashuzi kumdhihaki Afande CDF...kituko kabisa hiki.Huyu nae afanye kazi yake,asilete ushirombo hapa, aelewe kuwa Tanzania,ni kubwa,inaanzia Mtwara mpaka Tanga,Kigoma mpaka murongo border Kagera,Rukwa,mpaka Arusha....
Kuna vitu pale msibani vimetembea kwa codes, hata msemaji wa familia kasema Magu aliomba maombi matatu na waliyokumbuka ni mawili tu ....kiukweli kuna makundi yanachapana na pengine yalimsumbua pia JPM ...
Walisema hilo pia. Mungu atusaidieMsiba mwishoni wametawanyika bila utaratibu wa kueleweka. Familia ikaachiwa ijishukuru.
Wakishashiba makukuru bhasi wanajitoa ufahamu, hugo ni FOUR STAR GENERAL na anaheshimika ndani na nje ya mipaka ya nchi.Huna la kumfanya na huyu ni Mkuu wa Majeshi Nchini,Jenerari Venance Mabeyo,Msukuma Pure. Una lingine?