Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

Tatizo marehemu alimuamini sana na kumpandisha mavyeo ili awe mkuu wa majeshi mwisho wa siku alichomfanyia marehemu hakuamini macho yake. Nchi imejaa wezi hadi waaminifu wanakosa busara.

Chief, kuna ushahidi wowote kwamba CDF V. Mobeyo amefanya ubadhirifu wa Pesa za umma kupitia Mke wake?
 
Ngoja tuone mwisho wake,ila sikuwahi kumuona jamaa akiongea akiwa Well organised kiasi kile, kumbe yuko smart sana aisee
 
Rais wa 6, awamu ya Tano
Hivi kama Hayati Magufuli mfano angeshindwa uchaguzi mwaka jana 2020, je, Rais mpya angekuwa ni wa awamu ya ngapi!? Je, Rais ndiye anayeamua awamu au awamu inaamuliwa na vipindi vya utawala vya miaka 10!?
 
Hivi kama Hayati Magufuli mfano angeshindwa uchaguzi mwaka jana 2020, je, Rais mpya angekuwa ni wa awamu ya ngapi!? Je, Rais ndiye anayeamua awamu au awamu inaamuliwa na vipindi vya utawala vya miaka 10!?
Awamu ni miaka 10. Ingawa hii fomula imeanza kipindi cha Mwinyi maana Nyerere alitawala miaka takriban 24. Na chaguzi zilikuwepo mtu na kivuli

Kungekuwa na Rais mpya 2020, nadhani tungemwita Rais wa 6 wa awamu ya 5
 
Kwa GT washaelewa kuwa ile ni code ya kawaida kwa wale mamluki kutishiwa na kuonyesha taasisi iko imara na mama asiwaze Jeshi liko pamoja naye (naye anatafuta riziki lazima aonyeshe ana utii wa hali ya juu asienguliwe)

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Chukua speech ya CDF V. Mabeyo neno kwa neno then chukua speech ya Mheshimiwa Rais Mstaafu J. Kikwete nayo neno kwa neno!

Chakula tayari!
 
Awamu ni ya 6

Rais Samia atamaliza muhula wake wa pili 2030.

Awamu ya 5 imetumikia muhula mmoja tu kwa mujibu wa katiba!
Muhula mmoja? Hii miezi minne ni muhula wa 2 wa Magufuli sema hakumaliza.


Huwa najiuliza , Awamu ni miaka mingapi? Au tunahesabu Rais ndio awamu?

Maana hiyo ya Awamu ipo/imefasiriwa kwa mujibu wa sheria au katiba? Au ni mazoea yetu
 
Aya ya mwisjo inaweza kua kweli......anatuma ujumbe kwa watu flan......so inaweza ikawa kuzima baadhi ya mambo
 
Kweli ndo mana watu Hawataki kuhama hii nchi..watu wanakomenti hadi unaishia kucheka tu kwa raha inayotolewa na wanabodi kupitia michango yao...
 
Kwa genge gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted.
 
Kabisa ana security clearance zote, aweza kuingia kumuona hata saa 9 usiku.
Kulikuwa na haja gani ya kusema ana jambo la siri, hadharani, au ni kuwarusha roho mamluki inayosemekana haikumtaka Raisi mwenye maumbile ya mwanamke??

Nafikiri ujumbe uwafikie kwamba CDF yupo karibu na Raisi, Majeshi yapo nyuma yake.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Unnecessary move from a reputable figure .....Intimidation doesn't work in that way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…