Sasa mwanaume rijali unakuajee mweupee bhanaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatar. Mmoja akaniambia mimi ni mrefu na mwembamba ila tatizo ni mweupe kwa hiyo nimekosa sifa moja kuwa sukari ya warembo
Sijawahi vutiwa na mwanamke Mweupe . Mwanamke mweusi ananikosha saana.Sijawahi elewa hype ya weupe inatokana na nini
Yes ma'am. Sio niko 6ft, niko over 6ft.why wafupi nao ni watu jamani😃, 6.6ft? You mean wewe uko 6ft pia? Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Warefu kibao wana nyanya na bamia..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume weupe ni warembo
Daaah...🙌🙌🙌😜Kama Ina ukweli hii, baadhi pia ni wabishi na hawakubali kushindwa, wakali na anaweza hata akakudunda kwa kuhisi unamuignore sababu ya kimo chake😔
Umemalizaaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Ok ok, hongera mkuuYes ma'am. Sio niko 6ft, niko over 6ft.
Mkuu mbona sisi middle sized ,black and muscled guys hamjatufanyia upembuzi yakinifu.Ok ok, hongera mkuu
😀 na nyie mko vizuri tu ngoja mleta mada alete tafiti ya mid sizeMkuu mbona sisi middle sized ,black and muscled guys hamjatufanyia upembuzi yakinifu.
Nakuja huko kukuchukua tuongee vizuri, nshachoka mimi[emoji3] na nyie mko vizuri tu ngoja mleta mada alete tafiti ya mid size
Watatu kwa maana ipi?watamu sana
AssasinationMimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.
Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.
Watamu kwa maana ipi
Siyo mimi niliyefanya Tafiti sasa😀Nakuja huko kukuchukua tuongee vizuri, nshachoka mimi
Hukuomba hata nambaUmeonaaa eeeh...yaan Mimi niliowaonaa hao vijana warefuu Wanaweusi wa kun'gara..ndevu zilipangangika vizuri,mwili uliojengekaa kiumee kbsaaa...mavazi mazuri ya kistaharabuu kbsaaa plus viatu vizuri ngozi original kbsaaa iliyokaaa vema miguuni mwaoo..unawezaa ukaimagine mpk hapooo...macho mazuri na angavuu nyiee kweli Mungu fundiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mm ni white hivi na natongozwa hatari na wadada vipi hivi kuna siri gani??Mwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.
Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.
Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.