Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

wanawake wengi wa kichagga wana sura nzuri lakini wamepigwa pasi makalio na vile vile miguu yao mwembamba kama stick ( truth hurts )
 
Watachonga sana juu yetu. Mi najitafunia ulabu wangu hapa Mamsera.

Proud to a a chaggian!

Aisee babu Asprin kumbe Mzee wa mamsera?? Mie nipo hapa Keni napata supu ya asubuhi.... Proud to be a chagga!!
 
Last edited by a moderator:
Kila kona utasikia i see meku naenda Moshi kula x. Mass mpaka kwenye maredio

wewe umehadithiwa huna lolote,hakuna aliyewahi kusikia hayo matangazo.
Wivu nao!
 
Dah, kweli umefika mbali wewe mtoto...ila umesahau NRONGA je...kama ni mpenzi wa adventure jaribu kutembelea siku moja, make sure unapita njia ya miguu ya kutokezea NKWARUNGO!
 
Umeongea vizuri sana na me nimefurahi, sasa kwa taarifa yako me nipo mwanza yaani tupo fully ukoo mzima tunamalizia masalia ya ng'ombe tuliemuangusha tunakula maisha na r aha kila sikukuu kubwa tupo home wote pengine ni ukoo wenu ndo mna matatizo kaka hamrudi nyumbani kwenu rekebisha ukoo wenu kaka pole sana me ni msukuma piwaaaaa naishi dar ila kwa sasa nipo home mwanzaaaaaaa moja!!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kwetu ukienda umependeza imetoka hiyo,unarudi na box aende nani......HAPPY NEW YEAR TO U ALL
 
Dah, we mkali ... umenifanya nipamisi Nronga, Machame gafla! Kweli wazungu noma, hadi muda huu wameniweka ofisini, vinginevyo ningekua nakunywa zangu MBEGE pale KIDURUU saa hizi .....
 
Sio bure, declare Interest ( kule ni UKWENI )

Hamna..embu google hawa..Hoyce Temu , snura mushi, wolper, miss east Africa 2012 na Mamiss kedekede..kina aina maeda, shose sinare saida Kessy etc..bado marunners up..alafu nenda dar tu watoto wa kichagga vyuoni uone..sisemi Kama wote wako poa..ila ni wazuri si kwa shape wala sura give em their props bana..the truth shall set you free..
 


Teacher yaani umesahau Ashira Girls '94/98 leo unakumbuka Machame tu.
Yaani mm nimeanzia huku Himo ni Mahindi kwa mstari tu mpaka Marangu Sec
Mahotel kuanzia Marangu Hotel, Kibo Hotel, Babylon, Nakara, Tropicana, Marangu falls acha haya maduka ua kina Amstedam ni kwa $ na paund tu huwezi amini km ni Tanzania hii kwani tunapishana na Wazungu tu huku tumeinamia Lager kwa kupokezana na Dada zetu
Salamu zao kina Manka huku bado wanakukumbuka gfsonwin
 
Last edited by a moderator:

Umewasifia wachaga vizuri,mwisho umeharibu kwa kuwasema vibaya wanawake wa pwani.Sijui wameingiaje hapa kwenye x-mass za wachaga,au una bif na wakina mwanajuma?
 
yaani best acha halafu ghafla nimepata hamu ya kuvisit nakara view, na bia za marangu mtoni lol!
halafu ulishafika marangu gate?? eebwana ile ni ulaya bana acha kabisa.......nimeolewa kilema huwa nikienda ukweni nafurah mbaya kabisa hali ya hewa mazingira na menu tamu za kufa mtu.

ukute ndo mbuzi imechinjwa mpewe ile supu wanasema hii ni ya akina mpora lol! ni tamuje jamani?? halafu mnashushia na mbege mmekaa kwenye migomba na kahawa.
 
Dah, we mkali ... umenifanya nipamisi Nronga, Machame gafla! Kweli wazungu noma, hadi muda huu wameniweka ofisini, vinginevyo ningekua nakunywa zangu MBEGE pale KIDURUU saa hizi .....

ewee kuukye nronga??
enyi mmbwa kisiki yaa nyanuni na uduru nsha isheenda kisiki kwa mfika yaa pamela kioski.
yaani boo kweru lee, kulolye kibao eki kya shule ya nkwamwatu na nkoraya basi kusholoka na nshia eyo sheni boo ya kwanza kukwananya nayo kwa mekilya kishenge ng'u kwa baba akwa na mama akwa.

karibu deni mae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…