Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Aisee babu Asprin kumbe Mzee wa mamsera?? Mie nipo hapa Keni napata supu ya asubuhi.... Proud to be a chagga!!

Ayaaaaaa! si ungenistua? Nlikuwa nakamata kitimoto hapo Cheka Nao bar maeneo ya kituo cha afya. Sahizi nashushia Gunness hapa Memories bar Mengwe wakati namsubiri jamaa tukatize zetu Mwika tukatakase macho.

Proud to be a Chaggian.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada hakika umefunguka yalo moyoni,kwa niaba ya wachaga wenzangu karibu sana moshi
 
Katika makabila Tanzania, wachagga Kabila! Naadmire sana culture Yao ya kurudi nyumbani kila mwaka na kujoin family na jamaa kusheherekea sikukuu..japo wanasemwa sana oh wanaenda kutambikia Mara kuhesabiwa Lakini hawa jamaa ni mfano wa kuigwa! Wanapenda sana Kwao na hii imesaidia sana kupeleka maendeleo Kwao..I have been there seen it all..badala ya kuwaonea wivu na kubwabwaja, Naomba tuige mifano Yao na si tuendeleze Kwetu na tuwe proud na identity zetu badala ya Kuona aibu kuitwa wandengereko au Makonde..merry Xmas to yo all..alafu pia jamaa wana the best women..(habari ya shape cjui nn ni umbea tu wazuri ni wengi sana kuliko wabaya#fact#)kwanza wanawake wengi sana wa pwani mashapeless

Sasa ndio umeandika kitu gani hapa? Nauliza, umeandika nini hapa?
 
jamani hujapandisha machame, utakutana na mashamba njian yaliyolimwa mahindi kwamstari utafikiri hakuna watu. maliza km kama 8 hivi utaanza kukutana na maghorofa katikati ya kahawa na migomba. hadi ufike machame cottage utakuwa umekwisha sahau kama uko kijijini.

tizama makanisa yanayojenga kijijini hata huku mjini hakufui dafu, anza kanisa la NSHARA, UDURU, NKWARUNGO, NENDA NKUU KISERENI, LYAMUNGO utashangaa sana manake utajiuliza maswali mengi na sio ya miaka ya karibuni la hasha mengine yalijengwa 80's lkn kwa ramani kali na ya kisasa.

Msisitizo tu gfsonwin..tena hili wazee wamelijenga 1930's huko..na liko still mpaka leo...1990's nikija mjini sikuona kanisa kubwa na lenye nguvu kama hili..
 
Last edited by a moderator:
yaani best acha halafu ghafla nimepata hamu ya kuvisit nakara view, na bia za marangu mtoni lol!
halafu ulishafika marangu gate?? eebwana ile ni ulaya bana acha kabisa.......nimeolewa kilema huwa nikienda ukweni nafurah mbaya kabisa hali ya hewa mazingira na menu tamu za kufa mtu.
ukute ndo mbuzi imechinjwa mpewe ile supu wanasema hii ni ya akina mpora lol! ni tamuje jamani?? halafu mnashushia na mbege mmekaa kwenye migomba na kahawa.
5052637416_4c9f74a58a_n.jpg

Hiyo Nakara ipo kule LYASOMBORO maana umenifurahisha uliponitajia Marangu gate nimekumbuka kwa Wajomba zangu
250px-Marangu_in_Tanzania_2.JPG
Saa hizi tupo Marangu mtoni tunakata vilagi tukitoka hapo ni kwa mguu hado MSHIRI tunakatiza mabweni ya watoto wa kike Ashira pale makaburini ndipo tunaingia Home waambie Wamachame wote tunawakaribisha mbeke na nyama Choma hapa Amstedam
 
5052637416_4c9f74a58a_n.jpg

Hiyo Nakara ipo kule LYASOMBORO maana umenifurahisha uliponitajia Marangu gate nimekumbuka kwa Wajomba zangu
250px-Marangu_in_Tanzania_2.JPG
Saa hizi tupo Marangu mtoni tunakata vilagi tukitoka hapo ni kwa mguu hado MSHIRI tunakatiza mabweni ya watoto wa kike Ashira pale makaburini ndipo tunaingia Home waambie Wamachame wote tunawakaribisha mbeke na nyama Choma hapa Amstedam

hahahahah! unankumbusha back 1996 nilipokuwa hapo ashira bana. sasa vip nyama za kuchoma hapo marangu mtoni?? bado tamu kama zamani zile?
 
hahahahah! unankumbusha back 1996 nilipokuwa hapo ashira bana. sasa vip nyama za kuchoma hapo marangu mtoni?? bado tamu kama zamani zile?

Kumbe umeanza fomu wani mwaka 1996? Haya nipe shkamoo yangu.
 
images

Du nyama zipo lakini mm nimekimbilia Babylon, maana kote vurugu tupu vuluvulu, watu wanakidai na magari ya kila aina na No. mpya tupu hata za Kenya
Km nyama hata Kilacha Himo kwa masister wa Roma ipo kuku, nyama za mtoni leo zimekwisha mapema
Ng'ombe waliopo wanasubiria mwaka mpya (2013)

gfsonwin mwambie Asprin shikamoo haisaidii huku kwa Wachagga siku utakapogombea Ubunge Jimbo la Hai atakupa Shikamoo Mheshimiwa Mwalimu A.
Kumbe umeanza fomu wani mwaka 1996? Haya nipe shkamoo yangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom