MZEE WA ROCK
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 622
- 152
Aisee waache waende kwenye sensa ila usalama wenu ni muhimu sana huko barabarani, sumatra wametoa tamko tyr kuwadhibiti wasafilishaji ktk kipindi hizi cha kristimass, naomba pia kila familia zenu huko kwenu mzungumziE nini kimewapata mkaiga tabia za wahehe za kujiua na kuuwa wenza weNU?
