Ndugu Zangu.
Nina watakia kila la kheri katika the great migration to Moshi/Rombo katika kipindi hiki.
Ushauri ninaowapa mjaribu kutafuta Madereva wakuwasaidia katika safari hizi ndefu. Kuendesha gari Highway ni tofauti kabisa na kuondesha from Mbezi to Posta.
Mimi nitakua nanyinyi katika Sala.
Ninaomba kama kuna mtu yeyote ana Usahauri kwa hawa wenzetu wanakuwa na great migration during December and january awasaidie.
Halafu Mabasi huwa yanaongezaga mwendo ili yageize tupu kuwahi abiria wa siku inayofuata. msikubali muwasiliane na vyombo vya usalama.
Ha ha haaa! Kuna fast jet my friend. Nenda kwenye ofisi za fastjet ndo utajua ninachomaanisha.