Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Aisee babu Asprin kumbe Mzee wa mamsera?? Mie nipo hapa Keni napata supu ya asubuhi.... Proud to be a chagga!!

Ayaaaaaa! si ungenistua? Nlikuwa nakamata kitimoto hapo Cheka Nao bar maeneo ya kituo cha afya. Sahizi nashushia Gunness hapa Memories bar Mengwe wakati namsubiri jamaa tukatize zetu Mwika tukatakase macho.

Proud to be a Chaggian.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada hakika umefunguka yalo moyoni,kwa niaba ya wachaga wenzangu karibu sana moshi
 

Sasa ndio umeandika kitu gani hapa? Nauliza, umeandika nini hapa?
 

Msisitizo tu gfsonwin..tena hili wazee wamelijenga 1930's huko..na liko still mpaka leo...1990's nikija mjini sikuona kanisa kubwa na lenye nguvu kama hili..
 
Last edited by a moderator:

Hiyo Nakara ipo kule LYASOMBORO maana umenifurahisha uliponitajia Marangu gate nimekumbuka kwa Wajomba zangu
Saa hizi tupo Marangu mtoni tunakata vilagi tukitoka hapo ni kwa mguu hado MSHIRI tunakatiza mabweni ya watoto wa kike Ashira pale makaburini ndipo tunaingia Home waambie Wamachame wote tunawakaribisha mbeke na nyama Choma hapa Amstedam
 

hahahahah! unankumbusha back 1996 nilipokuwa hapo ashira bana. sasa vip nyama za kuchoma hapo marangu mtoni?? bado tamu kama zamani zile?
 
hahahahah! unankumbusha back 1996 nilipokuwa hapo ashira bana. sasa vip nyama za kuchoma hapo marangu mtoni?? bado tamu kama zamani zile?

Kumbe umeanza fomu wani mwaka 1996? Haya nipe shkamoo yangu.
 

Du nyama zipo lakini mm nimekimbilia Babylon, maana kote vurugu tupu vuluvulu, watu wanakidai na magari ya kila aina na No. mpya tupu hata za Kenya
Km nyama hata Kilacha Himo kwa masister wa Roma ipo kuku, nyama za mtoni leo zimekwisha mapema
Ng'ombe waliopo wanasubiria mwaka mpya (2013)

gfsonwin mwambie Asprin shikamoo haisaidii huku kwa Wachagga siku utakapogombea Ubunge Jimbo la Hai atakupa Shikamoo Mheshimiwa Mwalimu A.
Kumbe umeanza fomu wani mwaka 1996? Haya nipe shkamoo yangu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…