Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Akili ndogo mara zote zina namna yake ya kutazama mambo! Pole sana kwa kuwaza mbali...hukuumia kweli?
una habari kuwa mimi pia ni mchaga, ila sina mila hizo tena?kuweni wakweli ili mpone. mwogopeni Mungu.
 
Hawana lolote ni kutambika tuu wanaamini miungu yao na sio Mungu unafikiri mali wanazipataje ka sio kutambika
 

Ni likizo......huwezi fanya kazi mwaka mzima usipumzike bana........na tuna mambo yetu........binafsi......
 
una habari kuwa mimi pia ni mchaga, ila sina mila hizo tena?kuweni wakweli ili mpone. mwogopeni Mungu.

Kwa hiyo kujua kuchambia karatasi badala ya majani ndo ulishaona culture yako ni ya kishamba?
 
Kwa hiyo kujua kuchambia karatasi badala ya majani ndo ulishaona culture yako ni ya kishamba?
kuchamba ni kuchamba, cha muhimu nisiondoke na mav kwenye suruari. ila ukweli uko palepale, tuacha mizimuuu
 
Naona na mimi nichangie kidogo. Wanaosema ni kwa ajili ya matambiko,Je, matembiko hayawezi kufanyika kipindi kingine? Je wazungu wa wanaofanya kazi sehemu mbalimbali wanapenda kusherehekea X-mas makwao,Je ni matambiko? Watu wa Kilimanjaro husasani wachaga,walitawaliwa na wajerumani na Waingereza,desturi zao zikiwa ni kufanya kazi kwa bidii mwaka mzima kasha mwishoni mwa mwaka unapumzika na kusherehekea na ndugu,jamaa na marafiki. Aliyesema ni kuharibu uchumi amekosea,wanahamisha uchumi wote wa mikoa mbalimbali waliko,wanaupeleka Kilimanjaro. Bila kumumunya maneno, Pombe, Nyama na Vyakula mbalimbali vinavyonyweka kipindi hiki ni kikubwa sana. na wafanya biashara walioko Kilimanjaro (Kuazia Rombo- Hadi Siha) Ukiondoa Mwanga na same wanafanya biashara nzuri sana. Na serikali inapata mapato makubwa sana mkoani humo. Hivi ndivyo wenzetu wa Kilimanjaro na Ulaya wanavyowezesha ndugu zao kiuchumi. Swala la matambiko,linazungumzwa kwa wale ambao imani zao zinawatuma huko. Kiukweli ni kwamba,hakuna watu wa MOSHI wanapenda sana kununua nyama ya ngombe tu bila kuchanganya na Mbuzi aliyemchinya hapo nyumabani,hii ni kwasababu wale wazee ni wakulima na mwisho wa mwaka lazima wachinje na kufarahi na jamaa zao. Sasa waliotoka mikoa mingine ikiwamo Dar,wanapeleka hela na walioko kule wanaandaa mbuzi. Mimi nashauri makabila mengine yafanye hivyo ili wasaidie kwao kiuchumi. Hata hivyo miye siyo mchaga kama unavyoona jina langu
 
Waswidish kipindi hichi cha sikukuu huwa wanasafiri kurudi katika miji waliozaliwa hivyo nao ni wachagga?
Kenya ni jambo la kawaida wakazi wa miji mikubwa mbalimbali kwenda walikozaliwa wanapaita ushagoo bila kujali kabila.
Kama mtu una uwezo na unapakufikia kwanini usiende kusalimia ulikozaliwa?
Kama kwenu umeacha tembe usilaumu na kukosoa waliojenga kwao.
 
Ukweli ni kwamba .....Huu ndo muda wa hizo madhabahu zao kupokea sadaka kama
ulivyoamriwa na miungu familia za hao ambao bado wana fuatilia hayo....Though wengine wameshaacha bt ni wachache sana.

Ambao wameacha cha moto wanakiona na salama yao ni kwa Mungu wa kweli ili alipe fidia za damu ambazo huwa zinawaga km kafara wakati wa matambiko! Damu za Mafahari/wanyama
 
Na hii haipo kwa wachaga tu ht baadhi ya makabila wanayo...
Lucifer anajua hujui sheria na Mungu hawezi ingilia kati bila mhusika kumuomba Mungu coz ni maagano/makubaliano ambayo yalifanywa na waliotutangulia na(mizimu/miungu ya familia/ukoo) so lucifer ana uhalali ...... biblia inasema ' Mungu analiangalia neno lake apate kulitimiza' hawez kupingana na neno lake!

Inshot shetani anatumia kifungo cha mila na desturi kushambulia watu...so ndo maana sio kila mila desturi msingi wake ni mzuri!
 
Yani ubahili wao wote wa kutafuta hela mwisho wa mwaka wanaenda kuzitumbua.

Hahahaa
Ndo maagano yalivyosainiwa!
Madhabahu lzm ipelekewe sadaka mwisho wa mwaka
Na madhabahu chakula chake ni sadaka!
Kwahyo inategemea kabila na familia wenyewe wamepanga vipi madhabahu yao inapelekewa nn na lini
 

Mkuu hapo mwishoni sema ww na familia yako ndo mmeshaacha hayo matambiko!
Usiseme wote. ...coz wengi bado wapo huko!!
Mi minaposali hapa chaga ni zaidi ya 70% ni hatari!
Uzuri tu wameamua na wanafunguka ma Yesu anawafungua
 
Christmas ni mda wa kujumuika na familia na kutafakari yaliyojiri kwa mwaka wrote huku tukisherehekea ukumbusho wa kuzaliwa emmanuel
 
Wachaga fungukeni nn siri ya hii makitu?

Hapa hakuna siri, siri ni kupenda familia zetu na wazazi wetu kwa ujumla, unakutana na watu umesoma nao kuanzia chekechea yaani ni fulu kuenjoy karibuni uchagani. No secret
 
Na mimi nimegundua Kitu kimoja.
Kila Mwisho wa Mwaka UJAMBAZI UNAPUNGUA SANA Mijini.
Sasa sijui Hii inahusiana Na Hili Suala Hapa?

I wonder!!!
Cc mkishumundu 2013
mimi kishumundu napajua fika, wengi wanaosikia neno kishumundu watastaajabu wakipaona na kile wanachosikia.
Pia we kwa taarifa yako, unadhani mimi ni mtu wa chama fulani, Mimi sina chama, ila niliwahi kuwa mwanachama wa CCM, Binafsi ninaamini katika siasa za kisayansi zenye facts na sio kelele tu za oyeee. watu ninao wavutiwa nao CCm ni Abdulrahman Kinana, Warioba, JAnuary makamba, Lowassa, Esther bulaya, akiwemo yule spika mwarabu anayesimamia bunge wanapokuwa hawapo wakina makinda na yule mwenzake.
pia Rostam na nisiovutiwa nao Membe, Sita, Pinda, n.k.
kuhusu Chadema wanaonivutia Ni Sugu, Lema, Mbowe, mdee, Slaa, MNyika:
kwahiyo ikitokea hawa wamevuruga kwa namna yoyote we ni Pm tu na unizodoe hapa kwenye forum.... otherwise siamini katika siasa majitaka, na U-zeal wa vyama vya siasa.

Pole kwakuwa najua unataka kafu itawale visiwani: Nakuapia haitapewa ridhaa..haitatokea wewe.. You are wasting your time.

nasaka mapene aisee, chama baadaye chalii yanguuuu
 
Tunawapenda Wazee Wetu Tulowaacha Vijijini Ndo Maana Tunaenda
 

amin !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…