Na mimi nimegundua Kitu kimoja.
Kila Mwisho wa Mwaka UJAMBAZI UNAPUNGUA SANA Mijini.
Sasa sijui Hii inahusiana Na Hili Suala Hapa?
I wonder!!!
Cc mkishumundu
2013
mimi kishumundu napajua fika, wengi wanaosikia neno kishumundu watastaajabu wakipaona na kile wanachosikia.
Pia we kwa taarifa yako, unadhani mimi ni mtu wa chama fulani, Mimi sina chama, ila niliwahi kuwa mwanachama wa CCM, Binafsi ninaamini katika siasa za kisayansi zenye facts na sio kelele tu za oyeee. watu ninao wavutiwa nao CCm ni Abdulrahman Kinana, Warioba, JAnuary makamba, Lowassa, Esther bulaya, akiwemo yule spika mwarabu anayesimamia bunge wanapokuwa hawapo wakina makinda na yule mwenzake.
pia Rostam na nisiovutiwa nao Membe, Sita, Pinda, n.k.
kuhusu Chadema wanaonivutia Ni Sugu, Lema, Mbowe, mdee, Slaa, MNyika:
kwahiyo ikitokea hawa wamevuruga kwa namna yoyote we ni Pm tu na unizodoe hapa kwenye forum.... otherwise siamini katika siasa majitaka, na U-zeal wa vyama vya siasa.
Pole kwakuwa najua unataka kafu itawale visiwani: Nakuapia haitapewa ridhaa..haitatokea wewe.. You are wasting your time.
nasaka mapene aisee, chama baadaye chalii yanguuuu