Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Akili ndogo mara zote zina namna yake ya kutazama mambo! Pole sana kwa kuwaza mbali...hukuumia kweli?
una habari kuwa mimi pia ni mchaga, ila sina mila hizo tena?kuweni wakweli ili mpone. mwogopeni Mungu.
 
Hawana lolote ni kutambika tuu wanaamini miungu yao na sio Mungu unafikiri mali wanazipataje ka sio kutambika
 
Salaam!
Umekuwa ni utamaduni wa watu wa kasikazini hususani Wachaga kwenda mapumzikoni kila mwisho wa mwaka
Nimejaribu kufikiria ni kwanini makabila mengine hayana utamaduni huu mzuri kama wachaga?jibu sahihi bado sijapata ila nimejaribu kuhisi labda ni kwa sababu Wachaga wengi wamesoma?
Au mkoa wa Kilimanjaro upo mbali sana kiasi cha wachaga kushindwa kwenda mara kwa mara?
Lakini nimegundua hata Morogoro na Tanga sio mbali lakini Waluguru na Wasambaa hua hawaendi makwao mwisho wa mwaka so umbali na ukaribu kwangu ni vigezo vilivyokosa nguvu.
Nini siri ya Wachaga na utamaduni huu mzuri wa kwenda mapumzikoni mwisho wa mwaka?
Kwa nini makabila mengine wamekuwa wazito kutekeleza swala hili?
Mjadala upo wazi!

Ni likizo......huwezi fanya kazi mwaka mzima usipumzike bana........na tuna mambo yetu........binafsi......
 
una habari kuwa mimi pia ni mchaga, ila sina mila hizo tena?kuweni wakweli ili mpone. mwogopeni Mungu.

Kwa hiyo kujua kuchambia karatasi badala ya majani ndo ulishaona culture yako ni ya kishamba?
 
Kwa hiyo kujua kuchambia karatasi badala ya majani ndo ulishaona culture yako ni ya kishamba?
kuchamba ni kuchamba, cha muhimu nisiondoke na mav kwenye suruari. ila ukweli uko palepale, tuacha mizimuuu
 
Naona na mimi nichangie kidogo. Wanaosema ni kwa ajili ya matambiko,Je, matembiko hayawezi kufanyika kipindi kingine? Je wazungu wa wanaofanya kazi sehemu mbalimbali wanapenda kusherehekea X-mas makwao,Je ni matambiko? Watu wa Kilimanjaro husasani wachaga,walitawaliwa na wajerumani na Waingereza,desturi zao zikiwa ni kufanya kazi kwa bidii mwaka mzima kasha mwishoni mwa mwaka unapumzika na kusherehekea na ndugu,jamaa na marafiki. Aliyesema ni kuharibu uchumi amekosea,wanahamisha uchumi wote wa mikoa mbalimbali waliko,wanaupeleka Kilimanjaro. Bila kumumunya maneno, Pombe, Nyama na Vyakula mbalimbali vinavyonyweka kipindi hiki ni kikubwa sana. na wafanya biashara walioko Kilimanjaro (Kuazia Rombo- Hadi Siha) Ukiondoa Mwanga na same wanafanya biashara nzuri sana. Na serikali inapata mapato makubwa sana mkoani humo. Hivi ndivyo wenzetu wa Kilimanjaro na Ulaya wanavyowezesha ndugu zao kiuchumi. Swala la matambiko,linazungumzwa kwa wale ambao imani zao zinawatuma huko. Kiukweli ni kwamba,hakuna watu wa MOSHI wanapenda sana kununua nyama ya ngombe tu bila kuchanganya na Mbuzi aliyemchinya hapo nyumabani,hii ni kwasababu wale wazee ni wakulima na mwisho wa mwaka lazima wachinje na kufarahi na jamaa zao. Sasa waliotoka mikoa mingine ikiwamo Dar,wanapeleka hela na walioko kule wanaandaa mbuzi. Mimi nashauri makabila mengine yafanye hivyo ili wasaidie kwao kiuchumi. Hata hivyo miye siyo mchaga kama unavyoona jina langu
 
Waswidish kipindi hichi cha sikukuu huwa wanasafiri kurudi katika miji waliozaliwa hivyo nao ni wachagga?
Kenya ni jambo la kawaida wakazi wa miji mikubwa mbalimbali kwenda walikozaliwa wanapaita ushagoo bila kujali kabila.
Kama mtu una uwezo na unapakufikia kwanini usiende kusalimia ulikozaliwa?
Kama kwenu umeacha tembe usilaumu na kukosoa waliojenga kwao.
 
Ukweli ni kwamba .....Huu ndo muda wa hizo madhabahu zao kupokea sadaka kama
ulivyoamriwa na miungu familia za hao ambao bado wana fuatilia hayo....Though wengine wameshaacha bt ni wachache sana.

Ambao wameacha cha moto wanakiona na salama yao ni kwa Mungu wa kweli ili alipe fidia za damu ambazo huwa zinawaga km kafara wakati wa matambiko! Damu za Mafahari/wanyama
 
Na hii haipo kwa wachaga tu ht baadhi ya makabila wanayo...
Lucifer anajua hujui sheria na Mungu hawezi ingilia kati bila mhusika kumuomba Mungu coz ni maagano/makubaliano ambayo yalifanywa na waliotutangulia na(mizimu/miungu ya familia/ukoo) so lucifer ana uhalali ...... biblia inasema ' Mungu analiangalia neno lake apate kulitimiza' hawez kupingana na neno lake!

Inshot shetani anatumia kifungo cha mila na desturi kushambulia watu...so ndo maana sio kila mila desturi msingi wake ni mzuri!
 
Yani ubahili wao wote wa kutafuta hela mwisho wa mwaka wanaenda kuzitumbua.

Hahahaa
Ndo maagano yalivyosainiwa!
Madhabahu lzm ipelekewe sadaka mwisho wa mwaka
Na madhabahu chakula chake ni sadaka!
Kwahyo inategemea kabila na familia wenyewe wamepanga vipi madhabahu yao inapelekewa nn na lini
 
.................wewe ni punguani kabisa........akili za kuambiwa changanya na zako.........uchangani hakuna....kitu kama hicho....kwa taarifa yako....kwa wachagga...... kwa wengine hii ni generation ya.... 03 wapo wa generation ya ....pili na generation ya kwanza wamebaki wachache saana........WALE WAZEE WALIOKUWA MIJINI MIAKA YA 50/60/,,,80.....WENGI WAMESHAKUFA AU WENGINE NI WAZEE SANA...NA WAPO MOSHI......WATOTO WAO NDIO WAPO MJINI......MWISHO WA MWAKA NI MUDA MWAFAKA KWENDA KUWAJULIA KHALI.....WAPO WALE WALIOZALIWA NA HAWA WAZEE HUKU MIJINI ...WENGI WALISOMEA MOSHI.....WENGI WALIKAA NA BABU ZAO MOSHI.....WALIPO MALIZA SHULE ,,,WAKARUDI MJINI....KWENDA KUWASALIMIA WAZEE WAO NI KOSA????? KUNA VITUKUU.....VIJANA WALIOKULIA KIJIJINI WAKAJA MJINI BAADA YA KUMALIZA DARASA LA SABA.....WENGINE NI WAFANYABIASHARA ......WENGINE NI WAAJIRIWA.....WASIENDE KWAO KUSALIMIA NA KUWA PAMOJA NA FAMILIA ZAO MWISHO WA MWAKA////////////tambua wachagga hawaishi Dar es salaam tu.......unakuta familia moja....watu wako mikoa tofauti zaidi ya 05.....wote ni watoto....familia kukutana wote mnafikiri watakutana wapi????kama sio kwa wazee wao...KILIMANJARRO ....????Tambua kama MTOTO amezaliwa dar es salaam kila mwisho wa mwaka anaona wazee wanaenda pumzika Moshi...mwisho wa mwaka ......huo utamaduni lazima na yeye atakuwa anafanya hata watoto wataiga kwa baba yao........hiyo mizimu kwa kila kabila IPO...NI WACHAGGA TU KWA SABABU MAMBO YETU YAKO WAZI......NAAMINI WAKINGA WASUKUMA....HAYA MAMBO YAPO..........Wachagga kwa kiasi kikubwa......Ukristu umeshayapiga marufuku hayo mambo..MIZIMU..MATAMBIKO......wapo Wachagga waliokulia mjini hawajui hata kuchinja kuku?????akienda kijijini kusherekea na ndugu zake mliokremishwa mnaimba wanaenda toa sadaka kwa mizimu.....KIKUBWA TAMBUENI KILA MTOTO WA KIUME UCHAGGANI ANA .....KIHAMBA........ANATAKIWA AJENGE NYUMBA YAKE KWENYE KIHAMBA CHAKE.......AKIFA YEYE AU MTOTO AU MKE ANAZIKWA KWENYE KIHAMBA CHAKE...SO KILA MTU ANAJITAHIDI KUWA NA NYUMBA YAKE MWISHO WA MWAKA NI MUDA MUAFAKA WA KULALA KWENYE NYUMBA YAKO NA FAMILIA YAKO...............KWA MSIOELEWA XMAS NA MWISHO WA MWAKA KWA JAMII NYINGI ZA KILIMANJARO ......NI...NAFASI YA WANAFAMILIA KUKUTANA PAMOJA.....WATOTO KUFAHAMIANA.....KUSULUGHISHA UGOMVI KAMA UPO WA KIFAMILIA.........KUPEANA POLE KWA WALE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPOTEZA NDUGU ZAO NK....,...MITAMBIKO TUSHAIZIKA NA KUISAHAU KWA JINA LA YESU

Mkuu hapo mwishoni sema ww na familia yako ndo mmeshaacha hayo matambiko!
Usiseme wote. ...coz wengi bado wapo huko!!
Mi minaposali hapa chaga ni zaidi ya 70% ni hatari!
Uzuri tu wameamua na wanafunguka ma Yesu anawafungua
 
Christmas ni mda wa kujumuika na familia na kutafakari yaliyojiri kwa mwaka wrote huku tukisherehekea ukumbusho wa kuzaliwa emmanuel
 
Wachaga fungukeni nn siri ya hii makitu?

Hapa hakuna siri, siri ni kupenda familia zetu na wazazi wetu kwa ujumla, unakutana na watu umesoma nao kuanzia chekechea yaani ni fulu kuenjoy karibuni uchagani. No secret
 
Na mimi nimegundua Kitu kimoja.
Kila Mwisho wa Mwaka UJAMBAZI UNAPUNGUA SANA Mijini.
Sasa sijui Hii inahusiana Na Hili Suala Hapa?

I wonder!!!
Cc mkishumundu 2013
mimi kishumundu napajua fika, wengi wanaosikia neno kishumundu watastaajabu wakipaona na kile wanachosikia.
Pia we kwa taarifa yako, unadhani mimi ni mtu wa chama fulani, Mimi sina chama, ila niliwahi kuwa mwanachama wa CCM, Binafsi ninaamini katika siasa za kisayansi zenye facts na sio kelele tu za oyeee. watu ninao wavutiwa nao CCm ni Abdulrahman Kinana, Warioba, JAnuary makamba, Lowassa, Esther bulaya, akiwemo yule spika mwarabu anayesimamia bunge wanapokuwa hawapo wakina makinda na yule mwenzake.
pia Rostam na nisiovutiwa nao Membe, Sita, Pinda, n.k.
kuhusu Chadema wanaonivutia Ni Sugu, Lema, Mbowe, mdee, Slaa, MNyika:
kwahiyo ikitokea hawa wamevuruga kwa namna yoyote we ni Pm tu na unizodoe hapa kwenye forum.... otherwise siamini katika siasa majitaka, na U-zeal wa vyama vya siasa.

Pole kwakuwa najua unataka kafu itawale visiwani: Nakuapia haitapewa ridhaa..haitatokea wewe.. You are wasting your time.

nasaka mapene aisee, chama baadaye chalii yanguuuu
 
Tunawapenda Wazee Wetu Tulowaacha Vijijini Ndo Maana Tunaenda
 
.................wewe ni punguani kabisa........akili za kuambiwa changanya na zako.........uchangani hakuna....kitu kama hicho....kwa taarifa yako....kwa wachagga...... Kwa wengine hii ni generation ya.... 03 wapo wa generation ya ....pili na generation ya kwanza wamebaki wachache saana........wale wazee waliokuwa mijini miaka ya 50/60/,,,80.....wengi wameshakufa au wengine ni wazee sana...na wapo moshi......watoto wao ndio wapo mjini......mwisho wa mwaka ni muda mwafaka kwenda kuwajulia khali.....wapo wale waliozaliwa na hawa wazee huku mijini ...wengi walisomea moshi.....wengi walikaa na babu zao moshi.....walipo maliza shule ,,,wakarudi mjini....kwenda kuwasalimia wazee wao ni kosa????? Kuna vitukuu.....vijana waliokulia kijijini wakaja mjini baada ya kumaliza darasa la saba.....wengine ni wafanyabiashara ......wengine ni waajiriwa.....wasiende kwao kusalimia na kuwa pamoja na familia zao mwisho wa mwaka////////////tambua wachagga hawaishi dar es salaam tu.......unakuta familia moja....watu wako mikoa tofauti zaidi ya 05.....wote ni watoto....familia kukutana wote mnafikiri watakutana wapi????kama sio kwa wazee wao...kilimanjarro ....????tambua kama mtoto amezaliwa dar es salaam kila mwisho wa mwaka anaona wazee wanaenda pumzika moshi...mwisho wa mwaka ......huo utamaduni lazima na yeye atakuwa anafanya hata watoto wataiga kwa baba yao........hiyo mizimu kwa kila kabila ipo...ni wachagga tu kwa sababu mambo yetu yako wazi......naamini wakinga wasukuma....haya mambo yapo..........wachagga kwa kiasi kikubwa......ukristu umeshayapiga marufuku hayo mambo..mizimu..matambiko......wapo wachagga waliokulia mjini hawajui hata kuchinja kuku?????akienda kijijini kusherekea na ndugu zake mliokremishwa mnaimba wanaenda toa sadaka kwa mizimu.....kikubwa tambueni kila mtoto wa kiume uchaggani ana .....kihamba........anatakiwa ajenge nyumba yake kwenye kihamba chake.......akifa yeye au mtoto au mke anazikwa kwenye kihamba chake...so kila mtu anajitahidi kuwa na nyumba yake mwisho wa mwaka ni muda muafaka wa kulala kwenye nyumba yako na familia yako...............kwa msioelewa xmas na mwisho wa mwaka kwa jamii nyingi za kilimanjaro ......ni...nafasi ya wanafamilia kukutana pamoja.....watoto kufahamiana.....kusulughisha ugomvi kama upo wa kifamilia.........kupeana pole kwa wale ndugu jamaa na marafiki waliopoteza ndugu zao nk....,...mitambiko tushaizika na kuisahau kwa jina la yesu

amin !!!
 
Back
Top Bottom