Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kwa nini unaendelea kukaa na wkt huo unasema ni pabayaa...huoni hyo ni chuki tu mkuu?
Ninakaa kwa muda tu kwasababu imenilazimu kwasababu ya shughuli zangu. Ila sekunde yoyote nikipata chance hata iwe usiku wa manane natambaa.
 
Mtu mpaka unaoa mchaga hivi unaakili kweli??? Licha ya kut*mbewa na lazima ufe kabla ya wakati
 
Wake za watu wanabanjuliwa kwa wingi sana mkoani Kili mwezi Dec kuliko mahala popote pale ukanda wa SADC.

Mliooa Kili komaeni muende na wake zenu kama hamuwezi kuwakatalia

kwanini mkuu? hebu engezea nyama
 
unaumia dingi

kilimanjaro kuna ubaya gani?
mkoa wenye mandhari nzuri kama huu ukisema ni kubaya utakuwa na chuki binafsi.
Ni heri ukanya boga kupunguza machungu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wake za watu wanabanjuliwa kwa wingi sana mkoani Kili mwezi Dec kuliko mahala popote pale ukanda wa SADC.

Mliooa Kili komaeni muende na wake zenu kama hamuwezi kuwakatalia
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wasukuma ni kabila la hovyo hovyo ? Koma usirudie tena kusema hivyo. Kwa ufupi Kilimanjaro ni pakukaa manyani tu siyo binadamu. Nani akae huko milimani kwenye umande na ukungu kama nyani ? Huko ukifa unapelekwa kuzikwa tu ni makaburini kama Kinondoni makaburini. Huo ndio ukweli mchungu.
Huu uzi wasukuma na makabila mengine ya hovyo hovyo watahara Sana. Wachaga hoyeeew. Kabila takatifu.
 
Wasukuma bado hata ustaarabu wa vyoo hamna mnakunya ziwani, ndio mnataka mjifananishe na Wachaga?

Kilimanjaro na Arusha ni most beautiful city in Tanzania.

Atakayekwambia Moshi kubaya hana pesa, hata Dar kama huna pesa ni kubaya sana utaishia kwa mtogole tu wakati wamba wanakula maisha Masaki.
 
Unalinganisha hivyo vijiji na jiji la Mwanza ? Wewe mburula kweli. Arusha na Moshi pangekuwa pazuri wachagga mngepigania kila siku kuwaza kuishi mikoa iliyobarikiwa au kwa ufupi 'sukumaland' ? Kwa ufupi usiwe unalinganisha vitu vinyonge na Jiji la miamba.
 
Kuna wapuuzi wanaona ni ushamba,sa nawauliza je wao likizo yao huwa ni wapi? Hawana majibu
 
Tatizo fursa,kwani mchina kuja kuwekeza tz kwao hakuna maisha? Fursa ndio zinafanya tusambae
 
Mimi siyo mchaga, ila naijuwa Mwanza vizuri na Arusha Kilimanjaro.

Nimeona washamba wenzako wakisukuma Rock city mall wakishinda kwenye lift ni kitu kigeni kwao.

Villa park ndio ilikuwa mtoko mkubwa kwa wala bata kitu ambacho Moshi Arusha ni balaa.

Sijaonaga maajabu ya Mwanza mimi binafsi.
 
Kwa kweli nawapongeza sana hawa jamaa kwa njia hii watoto wanaujua ukoo kwa hakika hata mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mbeya na mzazi wangu alikuwa na utamaduni wa kutupeleka kijijini sikukuu za mwisho wa mwaka imetusaidia sana kujua ndugu na kujifunza lugha yetu kwakuwa wazazi walitoka kabila tofauti, kwa ujumla nawapongeza sana jamaa zangu hawa wa kilimanjaro
 
Ukiwajua ndugu na lugha yako inakuletea maendeleo kiasi gani?
 
Arusha gani unayoisema ? Hiyo ya Longido na Monduli ambako wamasai huokota maji tunayowarushia sisi watalii ? Mwanza hapa Tz inazidiwa na Dar tu , Moshi na Arusha ligi yao ni kina Morogoro, Mbeya, Kahama, Dodoma na Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…