Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Kumbe wachaga wameenda moshi ndio maana huku mjini wezi wamepungua
 
Mpaka sasa mjini una kitu gani cha kuibiwa kama siyo kuzunguka mitaa miaka nenda rudi.

Mtabakia hivyohivyo wachagga hao wanachanja mbuga kimaendeleo.
 
Naelekea Morogoro, kwa sasa tupo hapa Korogwe, tumejipanga foleni kwa zaidi ya nusu saa sasa katika kituo cha mafuta cha Total, niko siti ya mbele, nauliza hii shida ya mafuta imeanza lini?? najibiwa na abiria mwenzangu kwamba hakuna shida ya mafuta, ni msongamano wa magari ya wachaga wanaokwenda kwao katika msimu huu wa siku kuu, wanakwenda hija......Hali ipo hivyo pia katika vituo vingine vya mafuta hapa mjini.......njiani tunakutana na misururu ya magari ya kifahari yakiongozana kuelekea kaskazini mwa nchi....SAFARI NJEMA WACHAGA......NAWATAKIA HIJJA NJEMA!
 
ndiyo Ibada gani hiyo ?
Code:
 
Kweli kaka, yaani wachagga ni sheeeeeeedaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, maofisini hakuna watu kazi haziendi. Ukiuliza unaambiwa wafanyakazi wameenda likizo. Mimi kuna mchagga mmoja yupo ktk kitengo changu kaomba likizo namwambia subiri wenzio warudi haelewi somo. Matokeo yake kanizunguka kaenda kwa mkubwa wangu akarudishwa tena kwangu. Yaani wachaga ni sheeeeeedddddaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasikia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.
 
They go ,once come ,find them rich! ,,,#######
if chagas once go home get rich,chingas also go home there fore thy will be rich!!!test the valid of ths statement!!
 
Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.

Uwezo wako wa kufikiri na ID yako vinaendana
 
Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.
Ha ha ha ha kwa mfano ukiangalia mikoa ya kanda ya kati kila siku mauaji ya wakulima na wafugaji sasa uende ukachinjwe?
 
Niko njia panda hapa.kwenu ni kwenu tu tuacheni tukale rahaaaa!

Katika hilo nawaonea wivu....

Sisi huku kwetu likizo lakini jamaa kibao wamebaki town so kunaboa Sana kampani hakuna, unajikuta unatamani usingekuja
 
Mkuu kinachofanya sisi kupenda kwenda home kipindi hiki hasa ndio nafasi pekee ambayo ndugu wote wa kifamilia na watoto wenu kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii mnaweza kukutana. na hii huongeza undugu baina ya watu wa familia zetu.Vilevile ni muda muafaka wa kukutana na ndugu ambao moshi ndio makazi yao.Kila nyumba hua ni sherehe na mji wote hua umejaa.
 
Akhsante ndugu, kuna mjumbe wa mwanzo ameuliza kwamba huwa mnakwenda Hija (kama nilivyoambiwa mimi). Je dhana hii ni ya kweli na kuna ibada huwa zinafanyika huko?
 
Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.
Dah watu mna manenoooo
 
Back
Top Bottom