Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wachaga wameenda moshi ndio maana huku mjini wezi wamepungua
ndiyo Ibada gani hiyo ?Naelekea Morogoro, kwa sasa tupo hapa Korogwe, tumejipanga foleni kwa zaidi ya nusu saa sasa katika kituo cha mafuta cha Total, niko siti ya mbele, nauliza hii shida ya mafuta imeanza lini?? najibiwa na abiria mwenzangu kwamba hakuna shida ya mafuta, ni msongamano wa magari ya wachaga wanaokwenda kwao katika msimu huu wa siku kuu, wanakwenda hija......Hali ipo hivyo pia katika vituo vingine vya mafuta hapa mjini.......njiani tunakutana na misururu ya magari ya kifahari yakiongozana kuelekea kaskazini mwa nchi....SAFARI NJEMA WACHAGA......NAWATAKIA HIJJA NJEMA!
Naelekea Morogoro, kwa sasa tupo hapa Korogwe, tumejipanga foleni kwa zaidi ya nusu saa sasa katika kituo cha mafuta cha Total, niko siti ya mbele, nauliza hii shida ya mafuta imeanza lini?? najibiwa na abiria mwenzangu kwamba hakuna shida ya mafuta, ni msongamano wa magari ya wachaga wanaokwenda kwao katika msimu huu wa siku kuu, wanakwenda hija......Hali ipo hivyo pia katika vituo vingine vya mafuta hapa mjini.......njiani tunakutana na misururu ya magari ya kifahari yakiongozana kuelekea kaskazini mwa nchi....SAFARI NJEMA WACHAGA......NAWATAKIA HIJJA NJEMA!
wivu unakusumbua
ndiyo Ibada gani hiyo ?
Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.
Ha ha ha ha kwa mfano ukiangalia mikoa ya kanda ya kati kila siku mauaji ya wakulima na wafugaji sasa uende ukachinjwe?Tanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.
Niko njia panda hapa.kwenu ni kwenu tu tuacheni tukale rahaaaa!
Mkuu kinachofanya sisi kupenda kwenda home kipindi hiki hasa ndio nafasi pekee ambayo ndugu wote wa kifamilia na watoto wenu kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii mnaweza kukutana. na hii huongeza undugu baina ya watu wa familia zetu.Vilevile ni muda muafaka wa kukutana na ndugu ambao moshi ndio makazi yao.Kila nyumba hua ni sherehe na mji wote hua umejaa.Katika hilo nawaonea wivu....
Sisi huku kwetu likizo lakini jamaa kibao wamebaki town so kunaboa Sana kampani hakuna, unajikuta unatamani usingekuja
Mkuu kinachofanya sisi kupenda kwenda home kipindi hiki hasa ndio nafasi pekee ambayo ndugu wote wa kifamilia na watoto wenu kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii mnaweza kukutana. na hii huongeza undugu baina ya watu wa familia zetu.Vilevile ni muda muafaka wa kukutana na ndugu ambao moshi ndio makazi yao.Kila nyumba hua ni sherehe na mji wote hua umejaa.
Dah watu mna manenooooTanzania ni makabila mawili ambayo yanaweza kwenda kwao wakati wa sikukuu. Ni wachaga na wahaya, labda na watu wa Mbeya. Makabila mengine huwa hayana makazi ya kudumu, au mazingira ni magumu. Mfano vijiji vya Kisukuma havitamaniki, ukilala unasiia sauti za fisi. Wamasaai ndio kabisa, unaweza ukaenda ukakuta wamehama.