ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 545
- 1,179
Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje.
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????