Kwenye gari gari tairi huisha haraka kuliko engine kwakuwa tairi ndio zinabeba mizigo yoteWadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje....
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Pia watumiaji wa madawa ya kulevya eg pombe bangi sigara n.k wengi ni wanaume na wanapofika 60s huwa organ muhimu ktk miili yao zinafeli eg figo mapafu ini moyo etc1. Wanaume wanafanya kazi nyingi hatarishi.
2. Wanaume wanafanya kazi nyingi ngumu.
3. Wanaume wanabeba majukumu mengi ya kifamilia.
4. Wanaume wanabeba mambo mengi mioyoni mwao hata kusababisha maradhi shmbulizi ya moyo.
5. Wanaume huzaliwa wachache na hufa kwa wingi kuliko wanawake.
Mjane n mwanamke na mwanaume ni mganeWadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje....
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Tuliza akili kwa kufanya utafiti mdogo jadidifu kulingana na umri anaofariki nao mtu na si mahusiano ya mke na mume au baba, mama au babu na bibi.Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje....
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Mwanaume akifiwa mke huitwa mgane,hivyo nao wapoWadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje....
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Shida nyingine kubwa ya mwanaume inayomfupishia maisha ni hii [emoji116][emoji116][emoji116]1. Wanaume wanafanya kazi nyingi hatarishi.
2. Wanaume wanafanya kazi nyingi ngumu.
3. Wanaume wanabeba majukumu mengi ya kifamilia.
4. Wanaume wanabeba mambo mengi mioyoni mwao hata kusababisha maradhi shmbulizi ya moyo.
5. Wanaume huzaliwa wachache na hufa kwa wingi kuliko wanawake.
Kiranga na wataalamu wa Sayansi watusaidie kujibu maana sisi wengine tunaoamini Mungu tunajibu hivi.Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia hii sijui imekaaje....
Au ndio maana neno mjane lipo kwa mwanamke tu hakuna mjane mwanaume?????
Na hapa Me huwa tunapoteza sana Kinga ya mwili baada ya kufika kileleni sababu kuna baadhi ya wadudu ambao ni Kinga ya miili hufa na kupunguza ulinzi wa afya kadri siku zinavyosonga.Shida nyingine kubwa ya mwanaume inayomfupishia maisha ni hii [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2189673