Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Amina kwakweli ndiovyo kabisa wala hujakosea loloye mungu akubariki sana mwana wake kwa ujumbe mwema
 
Back
Top Bottom