Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kweli kabisa.....lakini wanaume wengi hatuezi kua marafiki na wanawake.....

Mi wanawake wote nlikua marafiki nao niliwasigelea[emoji23] labda kama sijamfeel au tunajuana kwa ajili ya ishu maalum tu
Mtakua marafiki na mwanamke muwe mnaongea nini sasa??
 
Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Sexy for fun inawezekana kbs. Kuna manzi mmoja nimedate naye for years na kilichotuunfanisha ni mnyanduano mwanzo mwisho... Hadi leo she is still my girl akija napiga ,tuacheka na tunaendelea na maisha... Hajawahi niuliza naoa lin wala maswala ya mpenz ... Then our talk siku zote huwa ni ngonooo tuuuu... Sooo maturity yenu na kujua nini mnataka inaweza fanya sex for fun milele yenuuuu
 
Aisee 🙌
 
Back
Top Bottom