Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Hili lilitokea kwa familia ya kwanza kabisa katika mtu(Adamu)
Nyoka aliyetajwa kuwa kiumbe aliyeenda wima yaani alikuwa ni mtu ambaye alibadilishwa maumbile baada ya kosa la kumbandua mchumba wa Adamu yaani Eva.
Kubanduana ni agano la damu ambapo kimsingi kulitengua ni ngumu sana maana ukinyume huu wa makubaliano ukifanywa kuwa uasui na mungu mwenyewe.
Mwanzo 3:15
[15]nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
And I will put enmity between thee and the woman, and between thy seed and her seed; it shall bruise thy head, and thou shalt bruise his heel.
 
Labda shida ndo hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na shd nyingne ni kwamba mkiwa mmeshamwagiana baadae ikitokea mmoja amemiss labda mwanamke then mwanaume anachat maongez ya kawaida Tayari keshi ya jinai namba 8.

Me mwenyew imeshanitokea. Au akiwa na shda ukimsaidia labda kiasi kadhaa. Akawa kimya kwa muda kidg unasema keshaenda kupeleka kwa mwingine ambae ni kweli anao. Yan kasheshe.

Na mm nikiwa busy ananitext najibu kawaida yanaisha. Mambo ya ex relationship ni kazi kuliko new one. Haswaa kwa Ke wenye wivu.

Kifup kwa mwanamke hakuna mahusiano ya karibu sana baada ya sex. Sawa sexless???
 
Ni hawa ma x waliokulia jamii za kichwawi na kilozi wanaotaka leo kesho waje msibani kwako???
 
Waambie waambie
 
Tunajitafutia matatizo wenyewe
 
Haya mahusiano ya kuibia ibia huwa ni changamoto sana. Maana kuna muda wahusika wanaingiwa na hisia za wivu na kutamani kupata zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…