Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Good thing ni kuhakilisha once inawabidi m separate katika level yyt ya mapenzi kila mmoja wenu awe tayar kwa hayo matokeo na hapo hakutakuwa na uadui isipokuwa ni mahusiano ya mtu na X wake na inapobidi bado mnaweza saidiana pasipo husisha mapenzi ingawa ni ngumu kwa baadhi ya wasio waelewa ku-practice hili;

1. Nina x wangu ss hv ni nurse Muhimbili ameiuwa msaada kwangu na jamaa zangu sana.
2. Nina x yupo Arusha shirika fulani yaani akipata tu deal ya kazi shirika lao oinahitaj watu ananipigia kuuliza kama ni ndugu anaweza suite the position
3. Nina x ni mwanasheria sihangaiki na suala lolote la kisheria.
Ivo yaani......

Mimi naamini mwisho wa mapenzi huwa sio mzuri lkn situation inaweza badilishwa na ninyi wenyewe baada ya ku separate baadae mkawa tu na mawasiliano ya kirafiki hasa kila mmoja akishakuwa ameponya jeraha la penzi lenu!
 
Aisee,mnarahisisha kweli tuvitu
 
T
True pana uadui wa asili Kati ya mwanamke na mwanaume.
Zama hizi unakolezwa na ishu za gender equality.Lengo ni kukiuka kanuni za asili.
Very bad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…