Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata pahala pa Kaz msiingize mapenz....maana hiyoo ofisi itakuwa chungu kwenu au Kwa mmoja hapo mbeleni.

Maana tukubali tukatae hakuna mahusiano ya kufanya tu yanayodumu.Ndoa tu zinatengeneza uadui sembuse kumwagiana tu Kwa kurefresh mind.

Tudumishe urafiki tusimruhusu shetani akatuvuruga.Nawapenda sana.
NB:Leo nina bafua bakari sana jabani!
Good thing ni kuhakilisha once inawabidi m separate katika level yyt ya mapenzi kila mmoja wenu awe tayar kwa hayo matokeo na hapo hakutakuwa na uadui isipokuwa ni mahusiano ya mtu na X wake na inapobidi bado mnaweza saidiana pasipo husisha mapenzi ingawa ni ngumu kwa baadhi ya wasio waelewa ku-practice hili;

1. Nina x wangu ss hv ni nurse Muhimbili ameiuwa msaada kwangu na jamaa zangu sana.
2. Nina x yupo Arusha shirika fulani yaani akipata tu deal ya kazi shirika lao oinahitaj watu ananipigia kuuliza kama ni ndugu anaweza suite the position
3. Nina x ni mwanasheria sihangaiki na suala lolote la kisheria.
Ivo yaani......

Mimi naamini mwisho wa mapenzi huwa sio mzuri lkn situation inaweza badilishwa na ninyi wenyewe baada ya ku separate baadae mkawa tu na mawasiliano ya kirafiki hasa kila mmoja akishakuwa ameponya jeraha la penzi lenu!
 
Good thing ni kuhakilisha once inawabidi m separate katika level yyt ya mapenzi kila mmoja wenu awe tayar kwa hayo matokeo na hapo hakutakuwa na uadui isipokuwa ni mahusiano ya mtu na X wake na inapobidi bado mnaweza saidiana pasipo husishq mapenzi ingawa ni ngumu kwa baadhi ya wasio waelewa ku-practice hili!
Aisee,mnarahisisha kweli tuvitu
 
Back
Top Bottom