Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Una overthink katika vitu visivyo na maana
 
Safi..
Namba 40
4+0=4
NAmba 4 namba ya Dealth and Birth au Dealth and Rebirth..
Hence Proved..
Ni sawa tu na Miezi 9 tu ambayo ni "foundation" "The sources"..
 
Miracles of no. 9: 1x9=9, 2x9=18(9+9), 3x9=27(2+7=9), 4x9=36(3+6=9), 5x9=45(4+5=9), 6x9=63(6+3=9), 7x9=72(7+2=9), 8x9=81(8+1=9), 9x10=90(9+0=9), 11x9=99(9+9=18/2=9) na 12x9=108(1+0+8=9). Na hapo mtasema ni Freemason. Jifunzeni miujiza ya namaba.....
 
3,6 na 9 ni sacred numbers ukizizidisha kwa number yoyote ile zinajirudia zenyewe, (tree of life)ukiangalia mauwa yote na pembe za wanyama wote magamba ya samaki wote Muundo wake ni fobias infinity squares of singulality.
Tafuta namba yoyote kwe biblia idadi ya chochote utapa izo namba zinajirudia.
ukianza ma umbo duara 360 degree gawanya kwa 2 to infinity zitajirudia izo namba mwisho utabaki na 9,
coding sequenve ya protein ni hizo namba

muhimili wa majira ya saa na miezi ni hizo namba.
 
If you only knew the magnificence of 3, 6 and 9, you would have a key to the universe”. “If you want to find the secrets of the universe, think in terms of energy, frequency and vibration”. “My brain is only a receiver, in the Universe there is a core from which we obtain knowledge, strength and inspiration


Nikola Tesla
 
Miracles of no. 9: 1x9=9, 2x9=18(9+9), 3x9=27(2+7=9), 4x9=36(3+6=9), 5x9=45(4+5=9), 6x9=63(6+3=9), 7x9=72(7+2=9), 8x9=81(8+1=9), 9x10=90(9+0=9), 11x9=99(9+9=18/2=9) na 12x9=108(1+0+8=9). Na hapo mtasema ni Freemason. Jifunzeni miujiza ya namaba.....
Freemason ilianzia kwa genius Kinf Solomoni alie kubalika Mbinguni,Duniani na kuzimu
 
walichukua maji wakayaweka kwenye baluli ya vibration ya Hz369 wakastuka
 
Ukikaa kule mkao wa kibudha wakati wnafanya tahajudi , meditation, yoga nk miguu huwa inatengeneza two equal sides angle kwa mapaja yote mawili, na pia mikono wakati umeiweka kwa magoti Kuna two sides of triangle created by your hands ubavu na paja . Kuna namna unaweza ukakaa ukabalansi viungo vyako kwa golden ratio na ukapaa kidogo
Mungu huyo huyo anamwambia muarabu aoe wake wanne alafu anamwambia myahudi aoe mke mmoja au asioe kabisa kama anataka kumtumikia...afu wewe mbongo wa kimara bonyokwa unajifanya "ndio Mungu kasema".. 😂amkeni jamani hizi dini za kitapeli tu
 
Kwenye suala la uumbaji hesabu hazihepukiki.
Jiulize kwa nini kila baada ya miaka minne mwaka unakuwa na siku 366.

Jiulize kwa nini siku ina masaa 24.

Jiulize kwa nini binadamu aliumbwa siku ya 6.

Jiulize kwanini 6 na 9 zina ufanano.

Ukweli ni kwamba namba hazijabuniwa bali ziligunduliwa, hivyo kuna code nyingi sana zenye maana zimefichwa kwenye namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…