Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

Pre season wanapataje hela
 
Hahahahaha
 
Wale wanaobaki avic town ,hawana mchongo huo?
Huwezi kufanya pre-season kwenye hali ya hewa, viwanja vizuri sana vya Tunisia au Uturuki halafu mechi ya kwanza inachezwa uwanja wa Mkwakwani wenye mbigili na visiki. Uwanja wa Mkwakwani unafanana kabisa na uwanja wa Avic ambao yanga alifanyia pre-season yake, umeona kilichowapata azam?
 
Sasa huwa hawajui hilo ? Jibu ni hawajui au km usemavyo

Maana Real Madrid walikua wanaenda pre -season Asia ,ukiacha maandalizi ,lkn pia wanafanya marketing ya bidhaa zao km jezi na vingine
 
Sasa huwa hawajui hilo ? Jibu ni hawajui au km usemavyo

Maana Real Madrid walikua wanaenda pre -season Asia ,ukiacha maandalizi ,lkn pia wanafanya marketing ya bidhaa zao km jezi na vingine
Simba wako tayari kwenda pre-season nje ya nchi hasa uarabuni hata ikibidi kwa siku 3 tu. Hizi ngada ndizo zinazoiendesha timu. Kwanini wahusika hawafanyi ukaguzi wa kutosha kwenye mabegi, mipira wanayobeba wakati wa kwenda na wakati wa kurudi pre-season?
 
Wanakua wanapeleka au wanakwenda kuchukua ?
 
Wanakua wanapeleka au wanakwenda kuchukua ?
WAKATI WA KWENDA WANAWEZA KUWA WANAPELEKA NYARA ZETU NA DRUGS HUKO KUPITIA DIRISHA LA TIMU YA MPIRA KUSAFIRI KWENDA PRE-SEASON NA WAKATI WA KURUDI HUENDA KUNA VITU VINAINGIZWA NCHINI KUPITIA DIRISHA HILIHILI. MARA ZOTE HUWEI KUSEMA UNAPATA HASARA KUFUNYA JAMBO LAKINI HUACHI KULIFANYA HILO JAMBO. LAZIMA UJIULIZE KWANINI ANAFANYA HUKU AKILALAMA KUWA ANAPATA HASARA? HADANI HUU NDIO MUDA WA KUTUDISHA KAMA SIO KUPUNGUZA HASARA.
 
Hiyo dhana ya kuhusisha timu kwenda pre season nje na usafirishaji wa madawa ya kulevya ni ya kizamani sana ya tangu enzi za Gulamali ndiyo iwe applicable leo hii.
 
We
Ss wew ni mjinga kweli
 
Hiyo dhana ya kuhusisha timu kwenda pre season nje na usafirishaji wa madawa ya kulevya ni ya kizamani sana ya tangu enzi za Gulamali ndiyo iwe applicable leo hii.
Mhindi hawezi kuwa na free lunch hata kidogo, you must think critically before you argue. Mtu anakwambia napata hasara kuendesha timu,, lakini Yuko tayari kuongeza hasara kupeleka timu pre-preseason nje ya nchi hata kama iwe na wacheza 7 TU kikosini bila kocha, kama anapata hasara kuendesha timu kwanani asipunguze hasara kwa kuweka kambi tz au Zanzibar? Lazima Kuna kitu, mulika safari mzima ya kwenda na kurudi preseason huenda ukagunduria siri ya kwanini hawa jamii wanatufadhili miaka nenda Rudi kizazi na vizazi.
 
SIyo kwamba sifikiri otherwise nisinge raise argument, nilichopinga ni hiyo dhana ya kusafirisha madawa ya kulevya kwani ilitumika for the past 30 years watu hawawezu kuendelea kutumia mbinu hizo hizo miaka nenda rudi, ila kuwa wana economical gain wanapata hiyo siwezi kubisha kwani hakuna mfanyabishara anatoa hela yake bila uhakika wa kuirudisha.
 
Hiyo dhana ya kuhusisha timu kwenda pre season nje na usafirishaji wa madawa ya kulevya ni ya kizamani sana ya tangu enzi za Gulamali ndiyo iwe applicable leo hii.
Kuna wakati mfadhali wa timu aliahidi wachezaji kuwapa tv Moja Kila mchezaji lakini yaliinhizwa makontena 5 ya TV ya zawadi za wachezaji.
 
Hela yakuzulula.mnayo helayakusajiliwachezaji wazuri hanna muddy kwelimuhuni
 
Hela yakuzulula.mnayo helayakusajiliwachezaji wazuri hanna muddy kwelimuhuni
ngada, ukwepaji kodi na smuggling ndio uti wa mgongo wa uchumi wa familia. Ni rahisi kuyafanya haya yote kama utajiweka karibu na Simba na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…