Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Ukimkimbia nitamshauri akuroge tu maana nyie hamueleweki mnachotaki ni nn kwenye maishaNina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Nadhani ww ndo una matatizo mengi kuliko mumeoNina mwanaume wa hivyo yaani ana marafiki wawili tu mda mwingi yupo mwenyewe, msibani anajitenga harusini huwa haendi kabisa kwa kweli simuelewi elewi mimi, soon namkimbia
Sasa si ubadilike jichanganyeKuwa Introvert ni ulemavu.
I'm an Introvert, and I hate it aisee!
Kuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.Nenda hospitalini ukapimwe usonji / autism
watu wengi hapa bongo wana hili tatizo bila kujua wanajiona introverts
Introvert hupenda kukaa peke yake sio kwasbabu hawezi kujimix bali hufurahi zaidi na kujihisi amani, Mtu mwenye autism hujiepusha kwa sababu ya uwezo mdogo wa kujimix, hana vya kuchangia, kutokuelewa ishara za kijamii, hofu, n.k.
kwenye utulivu au Kuonekana Mpole wote wawili huweza kuonekana kimya, lakini introvert ni kwa hiari, autism ni kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuwasiliana (poor conbersation skills), hofu, n.k.
Nimejaribu mara nyingi sana. Lakini kila nikijaribu mwisho wa siku najikuta narudi nilipokuwa.Sasa si ubadilike jichanganye
Kwasababu furaha yako unaipata ukiwa mwenyeweNimejaribu mara nyingi sana. Lakini kila nikijaribu mwisho wa siku najikuta narudi nilipokuwa.
kwa makadirio 80% ya watanzania wanaojiita introverts ni autismKuwa Introvert sio sifa mkongwe, najua nini maana ya usonji, nimeishi na watu wenye usonji hivyo usonji sio habari mpya kwangu.
Kila kitu kina faida na hasara zake, kuwa Introvert kunaweza kukuletea hasara kubwa kuliko faida.
Sasa si ubadilike jichanganye
Mkuu nahisi una usonji, kwa bahati mbaya Tanzania tatizo hili bado lina awareness ndogo, watu wengi wenye usonji hudhani ni introvertsNimejaribu mara nyingi sana. Lakini kila nikijaribu mwisho wa siku najikuta narudi nilipokuwa.
Mimi nimekosa Fursa nyingi sana kuwa introvert.Kuwa introvert sio sifa mkuu.
A lot of extrovert guys are succesful coz they share and network
Fursa gani ? Wakati watu huwapenda Sana hao introvert kwakuwa sio wakurupukajiMimi nimekosa Fursa nyingi sana kuwa introvert.
Najuta sana.
But I have to embrace it. Na watoto wangu mmoja naona kabisa amefuata. Hataki kuchanganyika kabisa.
Wengine wanadhania ni sifa.Mimi nimekosa Fursa nyingi sana kuwa introvert.
Najuta sana.
But I have to embrace it. Na watoto wangu mmoja naona kabisa amefuata. Hataki kuchanganyika kabisa.
Nadhani Tuishie Hapa....Pure introvert sio hali yakuwashangaza watu kuhusu wewe.
Bali ni hali yakuwatambua wengine kiundani sana kuliko wao wanavyo kutambua wewe.
Hivyo hupati tabu kuishi nakila jamii yawatu.
Ikiwa kinyume na hivyo nimatatizo binafsi ya mtu.
Mental problem.
Kumbe na wew boy ndo wale wale😅😅Yah mkuu, h kitu inanitesa sana, nmekosa vingi mno kutokana na Mm kuwa introvert