Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,490
Reaction score
138,365
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..

Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka

Naona hapo mzee kabananishwa katulia

Ova

 
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..

Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka

Naona hapo mzee kabananishwa katulia

Ova

Hatari sana ,dawa ya hao wahuni ni kuwawekea mtego wakiingia kwenye 18 ni kupiga kibiriti ili iwe fundish kwa MIHUNI mingine.
 
Vibaka wamejiupdate kwa upepo Teknoligia. Waungwana wameacha kama si kupunguza munkari ya ulinzi shirikishi wemekimbilia kua machawa!

Navyoelewa Vibaka hawatoki mbali. Mamlaka husika ikiongea vizuri na majirani wa eneo husika watapatikana.

Kwa vyovyote lawama zianze kwenda mboga mboga Idadi ya Majobless imekua Too much !!!
 
Back
Top Bottom