Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

Hivyo viboko vitatu ni vya kwanini huna hela.. ila wanaume wa Dar bhana jamaa anageuzwa tu kama mlenda hakuna ubishi wowote
Hyo sio kauli eti watu wa dar…Endelea kukaa huko huko maana huna uelewa wala experience na wahuni ama kibaka tena mwenye silaha....wewe adui zako wa usiku ni wachawai na nyoka tu shamba huko ila dsm adui wa biandamu ni binadamu…sasa watu wako watatu na wana silaha za jadi washavuta booster akili zao mbili ukifurukuta wanaondoka na paji la uso na ukcheki huyo ni mtu mzima na kipara chake ulitaka afanyaje ama tuambie ungekuwa wewe ungefanyaje? Kaka hvyo walivyompora vinataftika kwa gharama ila ukijeruliwa itakua ghrama mara nne muda wakutafuta, gharama za matibabu,gharama za kurejesha ulcho nacho na gharama za kupgania ama kupoteza uhai kila kitu hakihitaji nguvu vingne akili na kumpsha shetani apite tu.
 
Hatari sana ,dawa ya hao wahuni ni kuwawekea mtego wakiingia kwenye 18 ni kupiga kibiriti ili iwe fundish kwa MIHUNI mingine.
Changanyikeni miaka ya nyuma walimalza wizi kwa hyo style ya sheria mkononi vijana walkula sana viberiti wakawa wanaishia msewe golani na makongo juu maana ilfika sehemu raia wamenogewa na kupga watu viberiti ata saa saba usiku ukipga wimbo wataifa watu hao..wezi walijifunza ata akiiba maeneo jiran hakimbilii changanyiken maana ukiingia kule unakua mali yao wizi ukaanza kurudi baada ya serikali kuonya tabia hyo.
 
Vyema sana kujiexpertise kwenye martial arts hao wapuuzi hapo ni wepesi sana, basi tu.

Sasa wamemtandika mzee wa watu mara 3 amekosa nini.
 
Hahahaha shukran kwa kushare nami. Hata hivyo hakuna uhusiano wowote wa kupigwa marufuku niqab ninja na kupungua kwa wizi usiku.

Niqab iheshimiwe kama vazi la kiibada kwa baadhi ya wanajamio. Hata kama linatumika vibaya na watu wasio wema.
Haki ya kuvaa hijab ni ya kikatiba. Haiwezi kukatazwa kama kweli ccm wanataka kura za waislam

Chama chochote Chenye nia ya kuzuia uvaaji wa hijab, kanzu, niqab waweke wazi katika ilani zao za vyama
 
Usihofu, CCM wala haitegemei kura za yoyote kushinda. Pia Hijab na niqab zitavaliwa sana enzi hii kama ishara ya kuunga mkono, kuwa pamoja na shukrani.
 
Mi watakua wananikaba kila siku manina zaoooo..
Yaani hapo wakijiweka wakawa na makalio makubwa na manyonyo makubwa basiii washanidaka...

Bora nife tuuu
 
Ni TZ hii?...sema inabidi ifanyike operesheni kama ile ya wale polisi kule Moshi waliokuwa wanawapa chuma mbwa wanaozurura hovyo mtaani au operesheni kama ile ya Rais wa Philipino Kwa wauza ngada wote.
 
Hyo sio kauli eti watu wa dar…Endelea kukaa huko huko maana huna uelewa wala experience na wahuni ama kibaka tena mwenye silaha....wewe adui zako wa usiku ni wachawai na nyoka tu shamba huko ila dsm adui wa biandamu ni binadamu…sasa watu wako watatu na wana silaha za jadi washavuta booster akili zao mbili ukifurukuta wanaondoka na paji la uso na ukcheki huyo ni mtu mzima na kipara chake ulitaka afanyaje ama tuambie ungekuwa wewe ungefanyaje? Kaka hvyo walivyompora vinataftika kwa gharama ila ukijeruliwa itakua ghrama mara nne muda wakutafuta, gharama za matibabu,gharama za kurejesha ulcho nacho na gharama za kupgania ama kupoteza uhai kila kitu hakihitaji nguvu vingne akili na kumpsha shetani apite tu.
Hapo umetoka kujiboost na chipsi yai... Nilishapambana na vibaka 5 wenye majambia sio huto tuvisu, yaani umeandika kidada dada
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Huyo alovaa baibui na cap ana roho ya kishwetani sana..!!
Hapo kampiga kwa hasira kisa kakosa okoto 🤣
 
Back
Top Bottom