Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Angel kumbe unatokea mitaa ya vibaka?Kweli. Vibaka wamejaa kibao
Angel kumbe unatokea mitaa ya vibaka?Kweli. Vibaka wamejaa kibao
mbona jina lako wajiita smart?CCTV Camera haina motion kama hizo... Hiyo ni mtu alikua anarekodi...
Vibaka siku hizi sehemu nyingi tu wapo boss wangu. Wakipata fursa tuAngel kumbe unatokea mitaa ya vibaka?
Si walipiga bapa tuUbunifu 🙌
Kinachonikasirisha n unamuibia na bado unamjeruhi WTF c bora umuibie tuu then muache akapambane kutafuta pesa ili anunue tena mali nyingine ili mje muibe tena.
Duh Asante mkuuWw fala sana.
Kwahy kupiga bapa sio kujeruhi?
Hujaona damu usoni?
Ww nae ndo hao hao majambazi, seng3
Hivi CCTV camera uweza kupiga picha ya video kwa ku-zoom in au zoom out tukio na pia camera hiyo hiyo moja ikafuatana na mwendelezo wa tukio kama inavyoonekana kwenye hiyo clip?Hiyo ni video ya tahadhali kutoa somo au ni CCTV footage.
Najiuliza aliekuwa anapiga picha ni kibaka mwenzao, raia mwema au CCtv camera?
Hiki ndio kipengele kipya kwenye ilani ya Mbogamboga PP kwa vitendo.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Mzee kachezea Mbalata sema bora hawajamdhuru.Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Panga hilo mkuu na wewe unakuta hujajihami na chochoteHivyo viboko vitatu ni vya kwanini huna hela.. ila wanaume wa Dar bhana jamaa anageuzwa tu kama mlenda hakuna ubishi wowote
Shida vibaka wengi hupewa ushilikiano na policeVibaka siku hizi sehemu nyingi tu wapo boss wangu. Wakipata fursa tu
Imagine mtu upo sokoni na watu kibao na unapigwa tukio
Jana nimeona clip jamaa kaibiwa laptop kariakoo ilikuwa kwenye backpack 😅
Cctv hyo imechukua
Point hapo,usiku ukiona watu wamevaa hijabu kaa mguu sawa
Ova
Hiyo ni video ya tahadhali kutoa somo au ni CCTV footage.
Najiuliza aliekuwa anapiga picha ni kibaka mwenzao, raia mwema au CCtv camera?
Wabongo sisi n wajinga ila tupo vzr kujifanya wajuaji, Ndo mana kuna IGP alileta Picha iliyopigwa na camera ya kawaida na kusema n picha ya cctv mana anajua Wabongo hawana akili.Naona Kama vile picha za CCTV camera. Ila haya manguo yapigwe marufuku.
Ww n kichwa maji.hiyo itakuwa kamera ya nje kwenye hiyo nyumba
Wabongo kwa ujuaji tuko vzr lkn n vichwa maji, cctv camera inatoa picha horizontal tuu kama unazoona kwenye TV za kawaida, simu inatoa picha horizontal na vertically.Hivi CCTV camera uweza kupiga picha ya video kwa ku-zoom in au zoom out tukio na pia camera hiyo hiyo moja ikafuatana na mwendelezo wa tukio kama inavyoonekana kwenye hiyo clip?
Usipende kuwa mpumbav bas borq uwe mjinga. Kujifanya unajua kila kitu na mwerevu suo. Umeona hapo mimi nime conclude au nimetilia shaka kusema ni CCTV au mtu alichukua picha ya kawaida na kwa ajili ya nini au ni kutoa tahadhali!!!Wabongo sisi n wajinga ila tupo vzr kujifanya wajuaji, Ndo mana kuna IGP alileta Picha iliyopigwa na camera ya kawaida na kusema n picha ya cctv mana anajua Wabongo hawana akili.
Sasa nyie ndo mnathibitisha hilo, kwa akili zenu hiyo n cctv, poleni.
Hiyo ni video ya tahadhali kutoa somo au ni CCTV footage.
Najiuliza aliekuwa anapiga picha ni kibaka mwenzao, raia mwema au CCtv camera?
Iwe cctv au camera kikubwaWabongo sisi n wajinga ila tupo vzr kujifanya wajuaji, Ndo mana kuna IGP alileta Picha iliyopigwa na camera ya kawaida na kusema n picha ya cctv mana anajua Wabongo hawana akili.
Sasa nyie ndo mnathibitisha hilo, kwa akili zenu hiyo n cctv, poleni.
Ishu n hijabu au sio 🔥Iwe cctv au camera kikubwa
Mtu hapo anakula kibano na watu waliyovaa hijabu
Ova